Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Mkuu nahis asaiv tumekamilika,ila bado mmoja sijamuona thatsit na mwifa sjui wako wapKwenu emmyta hakuna mbwa mkali?
Binafsi niko poa sana mkuu
Mkuu nahis asaiv tumekamilika,ila bado mmoja sijamuona thatsit na mwifa sjui wako wapKwenu emmyta hakuna mbwa mkali?
Binafsi niko poa sana mkuu
Wapi palee, ngoja nikumbuke. Itakuwa hawajaamka hao.Mkuu nahis asaiv tumekamilika,ila bado mmoja sijamuona thatsit na mwifa sjui wako wap
Hao itakua ni wavivu bwana si bure,mpk dakika hii inamaana hujaenda hata kuwagongea ili waamke ,maana mda nao umeshaenda sana,inabidi waje wajiunge hapaWapi palee, ngoja nikumbuke. Itakuwa hawajaamka hao.
Hapa ndio naenda kuwagongea wasipoamka nitawamwagia maji nyie nipeni tu ruhusa.Hao itakua ni wavivu bwana si bure,mpk dakika hii inamaana hujaenda hata kuwagongea ili waamke ,maana mda nao umeshaenda sana,inabidi waje wajiunge hapa
Hivyo tu hata siwezi kuogopa kuja kwenu emmytaMkuu wala nisikufiche kwetu wapo wawili ni wakali haoo
Nashukuru kusikia hivyo.

Ruhusa tushakupa uje na majibuHapa ndio naenda kuwagongea wasipoamka nitawamwagia maji nyie nipeni tu ruhusa.
Majibu tu ntawaletea ngoje niende basiRuhusa tushakupa uje na majibu
Basi sie tupo hapa tunakusubiriMajibu tu ntawaletea ngoje niende basi
Tunakusubiri hapa niko na majirani zao uje na wewe utusaidie kuwaamsha mana nimegonga weee kila chumba lakini hakuna aliyeitikia.Basi sie tupo hapa tunakusubiri
aliyeitikia ni mmoja tu na namjua sana ila kaamua kutukaushia,hajaingi hili jukwaa siku ya tatu leoTunakusubiri hapa niko na majirani zao uje na wewe utusaidie kuwaamsha mana nimegonga weee kila chumba lakini hakuna aliyeitikia.
Leo ndio nimejua inabidi tumtafute kwa nguvu zote huyo ambaye ana siku tatu hajaonekana humu.aliyeitikia ni mmoja tu na namjua sana ila kaamua kutukaushia,hajaingi hili jukwaa siku ya tatu leo
Humu yan niko makini kwelkwel,uyo mmoja anajijua ndo mana kakaa kimya sjui kakasirishwa na nini si ushamjua ee,yule fulaniLeo ndio nimejua inabidi tumtafute kwa nguvu zote huyo ambaye ana siku tatu hajaonekana humu.
yule fulani alonikaushia jana Mungu anamuonaHumu yan niko makini kwelkwel,uyo mmoja anajijua ndo mana kakaa kimya sjui kakasirishwa na nini si ushamjua ee,yule fulani
Anamuona nani? Mbona mimi simuoniyule fulani alonikaushia jana Mungu anamuona
Simuoni mpz wangu hapa jf Leo yuko wapi jamaniAnamuona nani? Mbona mimi simuoni
Jamani mbona kimya ivoo, watu wameenda wapi?Simuoni mpz wangu hapa jf Leo yuko wapi jamani
Wapi ntapata nguo nzuri za watt wa kiume?? Naona watu wamelala mvua imewalevyaJamani mbona kimya ivoo, watu wameenda wapi?
Wapi wewe Mwifwa tupo tunakula chakula cha mchana.Jamani mbona kimya ivoo, watu wameenda wapi?
Mchana wa leo sijui utapitaje maana sina hela ya menu.Wapi wewe Mwifwa tupo tunakula chakula cha mchana.
Kabisa siyo uungwana ila hata mimi nimedoea sehemu tu mkuuMchana wa leo sijui utapitaje maana sina hela ya menu.
Hata hamnikaribishi huo sio uungwana kabisa