Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Vilemba ndio basi na wewe nikusalimie hujambo lakini?Mambo gani Emmyta waleta, wewe na alabian kwini.
Au nyie waarabu wa pemba, mnajuana kwa vilemba.
Vilemba ndio basi na wewe nikusalimie hujambo lakini?Mambo gani Emmyta waleta, wewe na alabian kwini.
Au nyie waarabu wa pemba, mnajuana kwa vilemba.
Hujambo lakini, wauliza kwa kuchomekea au kunijulia afya?Vilemba ndio basi na wewe nikusalimie hujambo lakini?
Hujambo lakini, wauliza kwa kuchomekea au kunijulia afya?
Afya yangu safi sana, mimi Zakumi nadunda.
Shikamoo zenu sitaki, mimi si mzee sana.
Shikamoo mkinipa sana, mtaninyima matunda.
Hujambo lakini, wauliza kwa kuchomekea au kunijulia afya?
Afya yangu safi sana, mimi Zakumi nadunda.
Shikamoo zenu sitaki, mimi si mzee sana.
Shikamoo mkinipa sana, mtaninyima matunda.
Raha zako si zangu, kaka tukubaliane.Mwenzetu ulisikia wapi tunda linaliwa kwa kulamba lamba? Ili ufurahie utamu wa tunda ni lazima ulitafune kwa meno tena unalitafuna taratibu kwa raha zako.
Siwawezi duh mmefika hapa,mbona sio mbaliRaha zako si zangu, kaka tukubaliane.
Tunda nakula kwa mrija, Mungu aliniobakia.
Mrija wangu si kichwa cha paka, kibamia nimebalikiwa.
Kulambalamba siwezi, kibamia nitakitumia.
Matunda yanashamili karibu na choo, ulimi na meno sipeleki.
Niiteni mzee wa shamba, bakteria wa chooni siwawezi.
Mbali sana kule kwenda kwa mguuSiwawezi duh mmefika hapa,mbona sio mbali
Vipi mzima ww,huku fresh kabisa,nmewamiss nyote humuMbali sana kule kwenda kwa mguu
Arabian queen mambo vipi.....?
Humu ndani vipi mpogo..?Vipi mzima ww,huku fresh kabisa,nmewamiss nyote humu
Pia jana nlitamani kuingia humu,lkn kazi ziliniover dozi,emmyta wapi mamaHumu ndani vipi mpogo..?
Hata mimi/sisi tumekumisslavuzi pia
njoo hukuHuku nipo nae emmytaPia jana nlitamani kuingia humu,lkn kazi ziliniover dozi,emmyta wapi mamanjoo huku
Atakuja saa ngap au ndo umembana huko jamaniHuku nipo nae emmyta
Subiria kwanza kuna mishe tunamalizia kuifanya then atakuja


haya nasubiriYote mliyoandika nimeyaona niwashukuru kwa kunikumbuka , mimi sijambo sijui huko majumbani kwenuHuu ndio muda muafaka wa kuyasema yote
Kwenu emmyta hakuna mbwa mkali?Yote mliyoandika nimeyaona niwashukuru kwa kunikumbuka , mimi sijambo sijui huko majumbani kwenu
Mkuu wala nisikufiche kwetu wapo wawili ni wakali haooKwenu emmyta hakuna mbwa mkali?
Binafsi niko poa sana mkuu