T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,925
- 30,063
Frige langu limeharibikaJaman mmeweka kwenye kabat la nguo kwa nn usinheziweka hata kwenye frige
Frige langu limeharibikaJaman mmeweka kwenye kabat la nguo kwa nn usinheziweka hata kwenye frige
Ndani kabsa au mnatania??Tena zile nguo za ndani
Mwezini siku hizi wanawake wakienda wanachelewa sana kurudi sijui kuna mabadiriko gani.Ndoa yetu tutafungia mwezini
Mnatania nyie labdaNdani kabsa au mnatania??
Mnatania nyinyi kusema kuwa kulifanyika ibada na tambiko eneo la ajali ile ya wanafunzi kule karatu.Ndani kabsa au mnatania??
Napotaka kuingia humu ni lazima nisalimie.Karatu nimetokea kupachukia na hata sina hamu napo
wapenzi wa uzi huu maridhwa, nimerejea tena japo kwa kuchungulia baada ya mihangaiko kutwa nzima.Nzima lakini simu yako kwa sababu tulivyoona kimya tukajua imeharibika.Napotaka kuingia humu ni lazima nisalimie.
Habari zenu![]()
wapenzi wa uzi huu maridhwa, nimerejea tena japo kwa kuchungulia baada ya mihangaiko kutwa nzima.
Imeharibika barabara ya Mombo-Lushoto kwa kuzibwa na mawe baada ya kuanguka kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyeshaNzima lakini simu yako kwa sababu tulivyoona kimya tukajua imeharibika.
Imeharibika barabara ya Mombo-Lushoto kwa kuzibwa na mawe baada ya kuanguka kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha
Hujakosea ulivyoandika vyote vina ukweli
Wasichote yale maji ya bwawani, ng'ombe wanakunywa hayo majiUkweli huko wapi? Kama hajakosea vyote.
Magufuli alipita kwa dili, tulishuhudia watu wote.
CCM hupiti bila misuli, lazima alilipa chochote.
Leo anaziba dili, wengine nao wasichote.
Maji ni uhaiWasichote yale maji ya bwawani, ng'ombe wanakunywa hayo maji
Uhai wa mwanadamu katika nchi hii hauthaminiwi kama uhai wa Faru FaustaMaji ni uhai
Uhai wa mwanadamu katika nchi hii hauthaminiwi kama uhai wa Faru Fausta
Bovu sana hili gari la huyu jamaa maana limenikosesha abiria wa kwenda Guest hivi hivi.Fausta Faustini, hilo jina la mtu.
usimkaribishe ukumbini, atajinyakulia vitu.
mpeleke kilabuni, akanywe mataputapu.
Ulabu ukimfika akilini, mwashe kama kapu bovu.
Bovu sana hili gari la huyu jamaa maana limenikosesha abiria wa kwenda Guest hivi hivi.
Makapi ya Alzeti baada ya usindikaji ni muhimu kwa kulisha ng'ombeGuest hivi hivi, hiyo safari ya wapi?
Kila matembezi na gari, uzembe umetoka wapi.
Maguta changamkia, wahi guest ukapate makapi.
Ng'ombe hasa wale wa maziwa natamani niwafuge ila sehemu ndio sina. Arabian queen mambo?Makapi ya Alzeti baada ya usindikaji ni muhimu kwa kulisha ng'ombe
Mambo gani Emmyta waleta, wewe na alabian kwini.Ng'ombe hasa wale wa maziwa natamani niwafuge ila sehemu ndio sina. Arabian queen mambo?