Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Kabisa wala hujakoseaKawaida imekua kama sheria maana tulizoea dili siku hizi zimebuma mbaya kabisa
Kabisa wala hujakoseaKawaida imekua kama sheria maana tulizoea dili siku hizi zimebuma mbaya kabisa
Hujakosea ulivyoandika vyote vina ukweliKabisa wala hujakosea
Ukweli usiopingika,ulikua unapika niniHujakosea ulivyoandika vyote vina ukweli
Hujakosea ulivyoandika vyote vina ukweli
Mini kinachotufanya binadamu hatumkumbuki Mungu?Ukweli usiopingika,ulikua unapika nini
Mungu ni muweza wa kila kitu,yy ndie alietupa hizi pumzi,basi tu wanadamu tunajisahauMini kinachotufanya binadamu hatumkumbuki Mungu?
Huo mnazi unakatika wakati wa kukatika wakatika kati kati kati kaaa..!!Ukweli upi upi huo?
Tunajisahau kabisa ila ni vyema tukakumbushanaMungu ni muweza wa kila kitu,yy ndie alietupa hizi pumzi,basi tu wanadamu tunajisahau
Tukakumbushana yaliyopo na yajayo kwan hamna ajuae mwisho wakeTunajisahau kabisa ila ni vyema tukakumbushana
Wake wengi siku hizi waongo kweli hasa ukimuuliza vipi umefurahia?Tukakumbushana yaliyopo na yajayo kwan hamna ajuae mwisho wake
Umefurahia nn kwa mfanoWake wengi siku hizi waongo kweli hasa ukimuuliza vipi umefurahia?
Mfano ukiwa umemuletea zawadi ya jojoUmefurahia nn kwa mfano
Jojo ndio zile perembende za zaman ambazo tulikua tunazipata kwa senti kumi? Au kuna nyingineMfano ukiwa umemuletea zawadi ya jojo
Nyingine zipo ila zimepanda bei sasaJojo ndio zile perembende za zaman ambazo tulikua tunazipata kwa senti kumi? Au kuna nyingine
Nyingine chukua hapo kwenye kabati la nguoJojo ndio zile perembende za zaman ambazo tulikua tunazipata kwa senti kumi? Au kuna nyingine
Jaman mmeweka kwenye kabat la nguo kwa nn usinheziweka hata kwenye frigeNyingine chukua hapo kwenye kabati la nguo
Sasa nasema hivi emmyta nakupenda sana nataka nikuoe uwe mke wangu halari wa ndoa.Nyingine zipo ila zimepanda bei sasa
Nguo tenaNyingine chukua hapo kwenye kabati la nguo
Tena zile nguo za ndaniNguo tena
Ndoa yetu tutafungia mweziniSasa nasema hivi emmyta nakupenda sana nataka nikuoe uwe mke wangu halari wa ndoa.