Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Naogopa kusema uongo,maana nafanya shuuli mbili kwa wakt mmoja[emoji23] [emoji23]Kumuangalia kwa umakini nilijitahd lkn sikumuona hapa nilipo nimesimama kukaa naogopa
Naogopa kusema uongo,maana nafanya shuuli mbili kwa wakt mmoja[emoji23] [emoji23]Kumuangalia kwa umakini nilijitahd lkn sikumuona hapa nilipo nimesimama kukaa naogopa
Naogopa sana kusema uongo kwa mke wngu maana nikiizoea tabia hii nitashindwa kujua ukweli na baraka nyingi zilizowekwa kwa wawili wanaopendanaKumuangalia kwa umakini nilijitahd lkn sikumuona hapa nilipo nimesimama kukaa naogopa
[emoji23][emoji23][emoji23] mmoja kaamua kunitisha leo. Muwania mbl Moja humponya AQ nakushaur bora fanya jambo mojamojaNaogopa kusema uongo,maana nafanya shuuli mbili kwa wakt mmoja[emoji23] [emoji23]
Naogopa hata mimi kama sio hivyo ningekuja na fimbo nimpigeKumuangalia kwa umakini nilijitahd lkn sikumuona hapa nilipo nimesimama kukaa naogopa
Mojamoja kwangu haiwezekani,au ushasahau ww kua wa pwani wanafanya kazi kumi wakat mmoja na kumaliza kwa pamoja[emoji23][emoji23][emoji23] mmoja kaamua kunitisha leo. Muwania mbl Moja humponya AQ nakushaur bora fanya jambo mojamoja
Pamoja tutashinda, lkn nahc utajichoshaMojamoja kwangu haiwezekani,au ushasahau ww kua wa pwani wanafanya kazi kumi wakat mmoja na kumaliza kwa pamoja
Pamoja tukiungana bila itikadi za dini,siasa,kabila na hakika nchi yetu itapata maendeleo ya haraka harakaMojamoja kwangu haiwezekani,au ushasahau ww kua wa pwani wanafanya kazi kumi wakat mmoja na kumaliza kwa pamoja
Pamoja na nyie niacheni niwe mshindi msg yangu hii ifanyeni ya mwisho basiMojamoja kwangu haiwezekani,au ushasahau ww kua wa pwani wanafanya kazi kumi wakat mmoja na kumaliza kwa pamoja
Haraka tutafanikiwa na hakika tutashinda ,emmtay tulia amna mshindi bado hapa[emoji23] [emoji23] thatsit mm sijichoshi nshazoea kuhangaikaPamoja tukiungana bila itikadi za dini,siasa,kabila na hakika nchi yetu itapata maendeleo ya haraka haraka
Basi ondoka km ushachoka tuache tuendeleePamoja na nyie niacheni niwe mshindi msg yangu hii ifanyeni ya mwisho basi
Tuendelee tu jamani sio kwa kunifukuza haraka haraka namna hiyoBasi ondoka km ushachoka tuache tuendelee
Hiyo ni onyo mubashara [emoji23] [emoji23] amna mshindi hapaTuendelee tu jamani sio kwa kunifukuza haraka haraka namna hiyo
Hapa ndio najua hamna mshindi ila thatsit na Arabian queen nawaona tu mnavyonipa makavuHiyo ni onyo mubashara [emoji23] [emoji23] amna mshindi hapa
Tulianza kwa kasi mchezo,kuisha hauishi leo[emoji1] [emoji28] niacheni mie niwe wa mwisho mkubali nmeshindaHapa ndio najua hamna mshindi ila thatsit na Arabian queen nawaona tu mnavyonipa makavu
Nimeshinda na mimi pia, itabd sku iz tutafute mshindi wa siku, naona wa mwisho hatopatikana daimaTulianza kwa kasi mchezo,kuisha hauishi leo[emoji1] [emoji28] niacheni mie niwe wa mwisho mkubali nmeshinda
Daima hatutopata mshindi hata wa io siku maana kuna wanaokesha pia[emoji23] [emoji23]Nimeshinda na mimi pia, itabd sku iz tutafute mshindi wa siku, naona wa mwisho hatopatikana daima
Jamani mimi mwenyew nataka ushindi hapa[emoji23] [emoji23]Nipeni mimi jamani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hapa mshindi ni mimi coz nimekuwa wa mwisho kujibu uzi wakoJamani mimi mwenyew nataka ushindi hapa[emoji23] [emoji23]