Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Bora kusema ukweli angali unauma kuliko kusema uongo pembeni kujivunniaZetu pumzi tunazitumia ila cha ajabu tunaringa na kusahau kumshukuru aliyetujaalia uzima na afya bora.
Bora kusema ukweli angali unauma kuliko kusema uongo pembeni kujivunniaZetu pumzi tunazitumia ila cha ajabu tunaringa na kusahau kumshukuru aliyetujaalia uzima na afya bora.
Kujivunia raha ila ikizidi saa nyingine inakuwa karaha.Bora kusema ukweli angali unauma kuliko kusema uongo pembeni kujivunnia
Karaha hupoteza furahaKujivunia raha ila ikizidi saa nyingine inakuwa karaha.
BadoZetu ni zile za mwanzoni,haya nmekuja tuendeleeni![]()
ivi mshakula umu ndani
Bado kwann mr mullah12Bado
Kupika nini mullah12 mbona unaharibu mashart na vigezo vya mchezoMother kagoma kupika


Kupika nini mullah12 mbona unaharibu mashart na vigezo vya mchezo![]()
we cumeuliza mmekula ukhtySasa si umalizie sentensi ya mwisho kunijibu![]()
we cumeuliza mmekula ukhty

ntakukaushia ohoooKher inshaallahSasa si umalizie sentensi ya mwisho kunijibuntakukaushia ohooo
Umekimbia japo nakuona unatamani kurudiemmyta umekimbia
Kurudi nilipotoka inabidi nijipange kisawasawa maana si kazi ndogoUmekimbia japo nakuona unatamani kurudi
Ndogo ni nzuri ila ukiamua hata kubwa inaweza isikufanye ukakumbuka ulipotoka.Kurudi nilipotoka inabidi nijipange kisawasawa maana si kazi ndogo
Ulipotoka lazima utapakumbuka tu japo yale maneno ya dharau na matusi ya nguoniNdogo ni nzuri ila ukiamua hata kubwa inaweza isikufanye ukakumbuka ulipotoka.
Nguoni mwako kuna mjusi hivi umemuonaUlipotoka lazima utapakumbuka tu japo yale maneno ya dharau na matusi ya nguoni
Umemuona wapi??? mama weeee naogopaaaNguoni mwako kuna mjusi hivi umemuona
, khaa umenitisha wala sinaSina tabia ya kudanganya muangalie vizuri au muite Arabian queen akisaidie kumuangaliaUmemuona wapi??? mama weeee naogopaaa, khaa umenitisha wala sina
Kumuangalia kwa umakini nilijitahd lkn sikumuona hapa nilipo nimesimama kukaa naogopaSina tabia ya kudanganya muangalie vizuri au muite @Arabican queen akisaidie kumuangalia