Dawa gani hiyo Saneneto?Nayo ni dawa
Saneneto hujambo?Dawa gani hiyo Saneneto?
Sana aisee hadi saa nyingine sitamani usiku uingie
Hovyoo!ndo nini kuingia bila giaKheeeee kheeeeee ushakuwa addicted weye lol! Saa nyingine bila shaka huwa unasinzia ukiwa humu na kupitiwa na usingizi mpaka saa zako za kuamka. Chezeya utamu wa JF mtandao wa hovyo hovyo 😛😛😛
vigezo na masharti kuzingatiwa.hujambo mr BAKHovyoo!ndo nini kuingia bila gia![]()
vigezo na masharti kuzingatiwa.hujambo mr BAK
Huku hakuna gia ni uwezo wako tu wa kujitahidi comment yako iwe ya mwisho ili upate kuwa mshindiNiko poa kabisa namshukuru Muumba wetu, vipi wewe? Kuna gia ya kuingia huku?
Huku hakuna gia ni uwezo wako tu wa kujitahidi comment yako iwe ya mwisho ili upate kuwa mshindi
Sijambo.Shukrani kwa kunifahamisha. Mzima lakini weye?
Hahaha mr BAK na emmyta acheni kuharibu mchezo,hata ukipewa salam unajibu kulingana na vigezo vya mchezoSijambo.

Mchezo nimeupenda balaa ndio mana nimemjibu kwa kifupi.Hahaha mr BAK na emmyta acheni kuharibu mchezo,hata ukipewa salam unajibu kulingana na vigezo vya mchezo![]()
![]()
![]()
Kifupi nmewamiss nyote muwazima humuMchezo nimeupenda balaa ndio mana nimemjibu kwa kifupi.
Humu salama ila wengine bado wamelalaKifupi nmewamiss nyote muwazima humu
Wamelala mpk saizi,ngoja nipite nimgongee mmoja mmojaHumu salama ila wengine bado wamelala
Yake sio ile ngoja wakiamka wote watatuonyesha yenyewe ni ipiMmoja wetu hivi karibuni atatumbuliwa na baba yake
Ipi gonga gonga mbona kwangu sijaisikiaa!!Yake sio ile ngoja wakiamka wote watatuonyesha yenyewe ni ipi

Zetu ni zile za mwanzoni,haya nmekuja tuendeleeniIpi gonga gonga mbona kwangu sijaisikiaa!!
Bora nimeshaamka mwenyewe,
Habarini wapenzi maridhwa wa huu uzi, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya pamoja na mimi pia.
Asubuhi njema, tutaonana panapo majaliwa ya mmiliki wa pumzi zetu![]()
![]()
ivi mshakula umu ndaniIpi gonga gonga mbona kwangu sijaisikiaa!!
Bora nimeshaamka mwenyewe,
Habarini wapenzi maridhwa wa huu uzi, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya pamoja na mimi pia.
Asubuhi njema, tutaonana panapo majaliwa ya mmiliki wa pumzi zetu![]()
![]()