Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Leo umefanyika uchaguzi, na jana pia ulikuwepo.
Nchi hii kwa uchaguzi, kama imepandwa mapepo.
Mapepo nahisi yanawakabili sana viongozi lakini hawajijui kama wana mapepo na hawajui mamna gani wanaweza kukabiliana nayo
 
Back
Top Bottom