Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Utayaweza mafurushi yenye rundo la mitumba ?yako yamekushinda ya wengine utayaweza!!!
Utayaweza mafurushi yenye rundo la mitumba ?yako yamekushinda ya wengine utayaweza!!!
Utayaweza mafurushi yenye rundo la mitumba ?
Aibu ukimfanyia kimwana huwezi kumzalisha!!Mitumba imesaidia, na kudumaza mawazo.
Nchi yenye kulima pamba, nguo tutengeneze wenyewe.
Kuagiza chupi chakavu, kweli kunatia aibu.
Kumzalisha tasa ni kutwanga maji kwenye kinu.Aibu ukimfanyia kimwana huwezi kumzalisha!!
Kinu chetu kimeharibikaKumzalisha tasa ni kutwanga maji kwenye kinu.
Kimeharibika kwa sababu mchi ulikuwa na uzito wa juu kupita kiasiKinu chetu kimeharibika
kiasi gani kinahitajika kuanzisha biasharaKimeharibika kwa sababu mchi ulikuwa na uzizo wa juu kupita kiasi
biashara siku hizi inataka ubunifu sanakiasi gani kinahitajika kuanzisha biashara
Sana kwa kutumia akili na ujuzi ulionao ilikuweza kupata mawazo tofautitofauti kwa watu mbalimbali waliobobea kwenye hizo kazibiashara siku hizi inataka ubunifu sana
Kazi zinapatikana huko ng'ambo nje ya nchi ila mamlaka kadhaa zinatia ugumu na kuweka kigingi !!!Sana kwa kutumia akili na ujuzi ulionao ilikuweza kupata mawazo tofautitofauti kwa watu mbalimbali waliobobea kwenye hizo kazi
Kigingi ambacho kimeshindwa kuzuia lori lisimame linaloendeshwa na dereva ambaye hasikii kelele za abiria wake.Kazi zinapatikana huko ng'ambo nje ya nchi ila mamlaka kadhaa zinatia ugumu na kuweka kigingi !!!
Wake huwa hataki aguswe hata iweje,yani mtalalamika sanaKigingi ambacho kimeshindwa kuzuia lori lisimame linaloendeshwa na dereva ambaye hasikii kelele za abiria wake.
sana sana wale wavivu mwaka huu wataisoma nambaWake huwa hataki aguswe hata iweje,yani mtalalamika sana
Namba yangu ya voda inaishia na ishirini na mojasana sana wale wavivu mwaka huu wataisoma namba
saba zikiwa mbili ni sabasabamoja!! nilijua saba
Sabasaba hii sikukuu si ilishafutwa....saba zikiwa mbili ni sabasaba
Ilishafutwa habari ya waziri aliyetaka tuoane kwa vyeti vya kuzaliwa.Sabasaba hii sikukuu si ilishafutwa....
Kuzaliwa kwa tembo husikika umbali wa kilomita tatu !!Ilishafutwa habari ya waziri aliyetaka tuoane kwa vyeti vya kuzaliwa.