mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Jamii forums idumu Kwa kukutanisha Na wadau mbali mbali kutoka nchi mbali mbaliWadogo nao ni mwendokasi hawaheshimu maadili ya jamii
Jamii forums idumu Kwa kukutanisha Na wadau mbali mbali kutoka nchi mbali mbaliWadogo nao ni mwendokasi hawaheshimu maadili ya jamii
January 2018 patakiwepo mapambano ya wintee olympics!!Nchi mbali mbali kwel maana natoka sweden leo kwa ajili ya mtu tuliemeet jamii forum mwez january
January 2018 patakiwepo mapambano ya wintee olympics!!
Utamuu upate toto lenye msambwandaa..sio kimbau mbauu..!!Olympics ingeoze medali za washindi, hili michezo iwe mitamu.
Iongeze medali za mbao na plastiki, hili na sisi tuonze utamu.
Medali za dhahabu, fedha, na shaba, zinatunyima utamu.
Mbauu ndiyo neno gani lina maana yeyeto?
Pamba ni zao la zamani limishapoyeza thamani..Mbau ni mbao ya fanicha, kama ile ya mkamba.
Yeye ataka lumbesa, kama junia la pamba.
Thamani ya mwanamke ni kujitunzaPamba ni zao la zamani limishapoyeza thamani..
Thamani ya mwanamke ni kujitunza
Kujitunza ktk hali ya stara na heshima !!Thamani ya mwanamke ni kujitunza
Kujitunza ktk hali ya stara na heshima !!
Bidii ni muhimu kama unataka mafanikioHeshima ni kama kioo, cha kuitathmini jamii.
wanawake na wanaume, wajitunze kwa bidii.
Mafanikio unakutana nayo njia panda.Bidii ni muhimu kama unataka mafanikio
Njia panda ni kipnd maalumu kinacho husu mambo mbalimbali ktk jamiiMafanikio unakutana nayo njia panda.
Jamiiforums ina stahili sifa kubwa kuwezasha Umma kuendelea na kutanua wigo wa kifikra !Njia panda ni kipnd maalumu kinacho husu mambo mbalimbali ktk jamii
kifikra vitu vingi ni rahisi sana kumbe laa!Jamiiforums ina stahili sifa kubwa kuwezasha Umma kuendelea na kutanua wigo wa kifikra !
Laa hasha siyo rahisi hivo kupewa mkopo bila dhamana..!!kifikra vitu vingi ni rahisi sana kumbe laa!
Laa hasha siyo rahisi hivo kupewa mkopo bila dhamana..!!
yako yamekushinda ya wengine utayaweza!!!Dhamana isyotaka kipaji, ni uaminifu wako.
Kama wewe ni mlipaji, huweki dhamana nyumba yako.