Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
tembo walivamia kijijini kwetu juzi usikuTuu tuu ilisikika milio ya migobore katika pori la tembo !!!
tembo walivamia kijijini kwetu juzi usikuTuu tuu ilisikika milio ya migobore katika pori la tembo !!!
Usiku ni muda mzuri wa kujipumzisha baada ya mihangaiko ya kutwa nzimatembo walivamia kijijini kwetu juzi usiku
Kiwe kizima au kibovu ukiwa nacho thamani haiwi kuubwa kama ukiwa huna.Nzima au mbovu inategemea jinsi mtu anaivyo itathimini.
Nzima Na uzima wa afya tunamuomba Mola kila sikuUsiku ni muda mzuri wa kujipumzisha baada ya mihangaiko ya kutwa nzima
Kheri mnaofuata taratibu za mchezo, sio akina mgogoone na Allen Alfred wanaovunja taratibu za mchezo.Siku ikimalizika salama ni jambo la kheri
Mchezo huu hauhitaji hasiraKheri mnaofuata taratibu za mchezo, sio akina mgogoone na Allen Alfred wanaovunja taratibu za mchezo.
Mchezo huu hauhitaji hasira Gumilapau.Ukiona mtu kavunja utaratibu wa mchezo ujuwe wakati anajibu wako wengine wamesha jibu.Ndio maana wa mwisho ndio mshindi.Kheri mnaofuata taratibu za mchezo, sio akina mgogoone na Allen Alfred wanaovunja taratibu za mchezo.
mshindi atapatikana lini kweye uzi huu maana hauishiMchezo huu hauhitaji hasira Gumilapau.Ukiona mtu kavunja utaratibu wa mchezo ujuwe wakati anajibu wako wengine wamesha jibu.Ndio maana wa mwisho ndio mshindi.
Hauishi na me nishauchoka mods bora futa huu Uzimshindi atapatikana lini kweye uzi huu maana hauishi
Hasira hasara thatsit umenena vemaMchezo huu hauhitaji hasira
Uzi huu hautafutwa walikuwako wengi kambla yetu.Hauishi na me nishauchoka mods bora futa huu Uzi
Abiria chunga mzigo wakoUnaendelea kama safari ya lori na dereva hasikii kelele zetu abiria
Wako wengi wasiochunga mizigo yao!Abiria chunga mzigo wako
Yao yamewashinda yetu watayawezaWako wengi wasiochunga mizigo yao!
Watayaweza hamna namnaYao yamewashinda yetu watayaweza
Namna bora ya kukaa na watu ni kuwa na busara hekima na heshimaWatayaweza hamna namna
Heshima kwa kila mtu ni jambo zuriNamna bora ya kukaa na watu ni kuwa na busara hekima na heshima