Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Tatu ndiyo namba sahihiKuzaliwa kwa tembo husikika umbali wa kilomita tatu !!
Tatu ndiyo namba sahihiKuzaliwa kwa tembo husikika umbali wa kilomita tatu !!
Sahihi akitumbuliwa Swahiba !!!Tatu ndiyo namba sahihi
Swahiba ni mtu wa kufurahisha saanaSahihi akitumbuliwa Swahiba !!!
Sana sana wataleta azimio jipya !!!Swahiba ni mtu wa kufurahisha saana
Saana na maigizo yake anayoyafanyaSwahiba ni mtu wa kufurahisha saana
Jipya nilishalitupa garage sasa hivi natumia oldschoolSana sana wataleta azimio jipya !!!
anayoyafanya kamishna kuwazuia wasichana wa kazi kuenda nje ni dhuluma!!Saana na maigizo yake anayoyafanya
Dhuluma ni dhambi kubwa lakini watu hawaiogopianayoyafanya kamishna kuwazuia wasichana wa kazi kuenda nje ni dhuluma!!
Hawaiogopi wajinga na wanafiki tuDhuluma ni dhambi kubwa lakini watu hawaiogopi
Tu waliowengi ndio viongozi wetuHawaiogopi wajinga na wanafiki tu
Wetu kivipi?Tu waliowengi ndio viongozi wetu
Unauswagisha ni neno jipya la kiswahili ama vpWetu kivipi?
Alafu huu mjadala si nilishaufunga kuwa mimi ndo nilikuwa wa mwisho? Kulikoni bado unauswagisha??
vp kuhusu huu uzi, nitakomaa nao mpaka mwisho ili niwe mshindiUnauswagisha ni neno jipya la kiswahili ama vp
Vp kuhusu elimu haina mwisho? Namna hivo ndivyo uzi ulivyoUnauswagisha ni neno jipya la kiswahili ama vp
Ulivyo nidharau siku ile usifikiri nimesahau!!Vp kuhusu elimu haina mwisho? Namna hivo ndivyo uzi ulivyo
Nimesahau km mchezo bado unaendeleaUlivyo nidharau siku ile usifikiri nimesahau!!
Unaendelea hata kama utakuwa umelala usingizi fofo wapo watakao kesha!!Nimesahau km mchezo bado unaendelea
Kesha ucku kucha kutafuta helaUnaendelea hata kama utakuwa umelala usingizi fofo wapo watakao kesha!!
hela imekuwa ngumu jamani sijui ni huku kijijini kwetu tuuKesha ucku kucha kutafuta hela
Tuu tuu ilisikika milio ya migobore katika pori la tembo !!!hela imekuwa ngumu jamani sijui ni huku kijijini kwetu tuu