Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 433
bovu si la kukaa nalo karibuMjanja lakini hunasa kwenye tundu bovu
bovu si la kukaa nalo karibuMjanja lakini hunasa kwenye tundu bovu
bovu si la kukaa nalo karibu
Watakuparamia Zakumi Kwa mashairi yako murwa.Karibu hukaribishwi, kwenye viwanja vya mamantilie.
Hukaribishwi tonge la ugali, hata mboga ya mabamia.
Ukita mlo wa dezo, watu watakuparamia.
Tanga moja wa mji wa mwanzo, umejaa wala halua.Watakuparamia Zakumi Kwa mashairi yako murwa.
Kaka Mtebetini poleni sana Na msiba Mola aipumzishe Roho yake peponi.hiyo njia lazima tupite.ZZ unanitamanisha Na visheti Na halua za Tanga.
Dada akiwepo nyumbani huwa nguzo muhimu ktk utunzaji wa familia imara!!maua sama namkubali sana yule dada
imara sana kama simbaDada akiwepo nyumbani huwa nguzo muhimu ktk utunzaji wa familia imara!!
Simba mwenda kimya ndiyo mla nyama!!imara sana kama simba
nyama! nimesikia njaa asubuhi hii hata jua halijawa kali sana
imeisha!! mimi hata kuni twende kaziSana sana ukiletewa😀 kilo mbili za nyama upike utajidai gesi imeisha ...!!😛
kazi ameachishwa kwa kufoji chetiimeisha!! mimi hata kuni twende kazi
Cheti kimepotea ila fotocopy ipo ntakuletea!!kazi ameachishwa kwa kufoji cheti
Kazi zimetangazwa huku nibora kuapply kwa barua pepe !!imeisha!! mimi hata kuni twende kazi
Pepe Reina ni goal keeper wa timu gani vile.....Kazi zimetangazwa huku nibora kuapply kwa barua pepe !!
Vile-ma ni ndugu zetu, msipende kuwanyanyasa.Pepe Reina ni goal keeper wa timu gani vile.....
Vile vile nawe uhudhurie takrima na hafla kesho usiku ya wahitimu !!Pepe Reina ni goal keeper wa timu gani vile.....
Kuwanyanyasa wadada pale uwanjano JNIA ni ukosefu wa adabu..!!Vile-ma ni ndugu zetu, msipende kuwanyanyasa.
Adabu imepotea wakubwa wanaankia wadogoKuwanyanyasa wadada pale uwanjano JNIA ni ukosefu wa adabu..!!
Wadogo nao ni mwendokasi hawaheshimu maadili ya jamiiAdabu imepotea wakubwa wanaankia wadogo