njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,798
usiogope kuswekwa ndani kwa sbbu unatafuta pesaUkitaka nenda kachukue, hayo sio maelekezo mema.
Bank imejaa wamwera, lupango watanisweka.
usiogope kuswekwa ndani kwa sbbu unatafuta pesaUkitaka nenda kachukue, hayo sio maelekezo mema.
Bank imejaa wamwera, lupango watanisweka.
Pesa ni fimbo ya kutembelea mjini, wakuu tufuate kanuni za huu uzi ili tucheze ngoma pamojausiogope kuswekwa ndani kwa sbbu unatafuta pesa
Bure waswahili wamesema aghaliPesa zina watuvwake maalum na watumiaji ni sisi wapenda vya bure!!!
Pamoja tunavyochangia hapa tunapata mwendeleza wa huu uzi miaka nenda rudiPesa ni fimbo ya kutembelea mjini, wakuu tufuate kanuni za huu uzi ili tucheze ngoma pamoja
Aghali leo hii haona thamani maana mchina kaleta mbadala !!Bure waswahili wamesema aghali
Pesa zina watuvwake maalum na watumiaji ni sisi wapenda vya bure!!!
Mbadala wa kichina haudumuAghali leo hii haona thamani maana mchina kaleta mbadala !!
Dezo huwa inaponza na mwisho wa siku utailipiaBure ina gharama zake, tusipende vya dezo.
Dezo dezooooo....Bure ina gharama zake, tusipende vya dezo.
Dezo dezooooo....
Aliwahi kuimba mwanamziki fulani wa kitanzania miaka ya nyuma, sasa hivi sijui kapotelea wapi.
Manzese ni mandhari ya tamthilia ya kibongo ya Watoto wa mamantilieWapi wapi ni baa, kitongoji cha Manzese.
Manzese ni mandhari ya tamthilia ya kibongo ya Watoto wa mamantilie
Ugali, nyama choma, mchicha na maziwa, mlo niupendao!Mama ntilie wa gerezani, wajanja kwenye ugali.
Mapishi watia amila, kuongeza ukubwa wa ugali.
Niupendao maana hujenga mwili kutokana na virutubisho vyakeUgali, nyama choma, mchicha na maziwa, mlo niupendao!
Vyake vyose vya RuwaaNiupendao maana hujenga mwili kutokana na virutubisho vyake
Vyake vyose vya Ruwaa
Kitambi kimekuwa sifa ya wanaume wengi enzi hizi.Ruwaa !!!! unashangilia, huku ukijaza kitambi.
Hizi mbichi sizitaki c maneno yangu bali maneno ya sungura mjanjaKitambi kimekuwa sifa ya wanaume wengi enzi hizi.
Mjanja lakini hunasa kwenye tundu bovuHizi mbichi sizitaki c maneno yangu bali maneno ya sungura mjanja