Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Binafsi leo nimepokea taarifa za msiba za Mzee wetu ndani ya Jiji la Dar-es-salaam Al- alama Sheikh Issa Hausi Kirumbi amefariki leo. Bro Mgogoone nimekuona kwa mbali samahani nilichelewa kuingia humu jamvini.
Jamvini tupo pamoja ktk msiba wetu huu..,Poleni kwa sote.
"inna Lillah wa inna ilayhi Rajiou" sote huko mdiyo njia yetu tutapita.. Mola amlaze pema na atupe uvumilivu kuhili simanzi....
 
Back
Top Bottom