Country music inanivutia kwa kweli. Nimevamia mchezo aibu kwangu samahanini jamani, nisameheni bureTanzania is a granny country
Uhakika upi? Wa kuvuruga mchezo unafaini ya kulipaBashite naskia ndo Paul Makonda ila Sina uhakika
Kulipa nitalipa lkn naomba msamaha nilivamia si unajua nimetoka kuamkaUhakika upi? Wa kuvuruga mchezo unafaini ya kulipa
Kuamka au kuamshwa?Kulipa nitalipa lkn naomba msamaha nilivamia si unajua nimetoka kuamka
Kuamshwa na Nani?? Nimeamka mwenyeweKuamka au kuamshwa?
Mwenyewe unaonekana mvivu wa kutupwa hata huwezi kushika simu.Kuamshwa na Nani?? Nimeamka mwenyewe
Simu km siwez kushika ningechat vp?Mwenyewe unaonekana mvivu wa kutupwa hata huwezi kushika simu.
Vp wewe au unataka nije nikuchape eeeh?Simu km siwez kushika ningechat vp?
Eeeh!! Me thitaki kuchapwa naogopaVp wewe au unataka nije nikuchape eeeh?
Naogopa kukuambia siri zangu maana wewe niliskia ni kashilawadu kadogoEeeh!! Me thitaki kuchapwa naogopa
Kadogo wapi?? Mm ni mkubwa hasa ni assistance wa soud brownNaogopa kukuambia siri zangu maana wewe niliskia ni kashilawadu kadogo
Mwezi wa ngapi kwani huu. Mm sihitaji bundle natumia Wi-FiBrown kwacha jinja maloni ukiniambia haya majina yapo wapi nitakuunga bando la mwezi.
WI-FI kwani haiungwi inajiungaMwezi wa ngapi kwani huu. Mm sihitaji bundle natumia Wi-Fi



Unakimbia nn unakutana na zz hapo hutochomoka !!!Inajiunga ?? Hapa imeshalipiwa mwaka mzima so ni free kwenda mbele hamna kuwaza. Unakimbia nn??
Hutochomoka mpk ulipie biliUnakimbia nn unakutana na zz hapo hutochomoka !!!
Bili italipwa lakini risiti ya EFD nipewe ili TRA watidhike ....Hutochomoka mpk ulipie bili
Watidhike au waridhike??Bili italipwa lakini risiti ya EFD nipewe ili TRA watidhike ....
Waridhike kuona kipato cha taifa chaongezeka ....Watidhike au waridhike??