dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Na tena ukimchezea anaweza kukulipuaMkuu ni yule mwenye vyeti feki lakini bado anapigiwa saluti na kukingiwa kifua
Na tena ukimchezea anaweza kukulipuaMkuu ni yule mwenye vyeti feki lakini bado anapigiwa saluti na kukingiwa kifua
Kukulipua ni hatari sana, mkuu elewa hii ngoma ya ''Wa mwisho ndio mashindi" ili tuende sambambaNa tena ukimchezea anaweza kukulipua
Kizito ni mwenye pesa na nguvu, kwa jina lingine kibosile.Sambamb nami ni mtangazaji mwenzangu, kizito
Kibosile maana yake nini kwa kiswahiliKizito ni mwenye pesa na nguvu, kwa jina lingine kibosile.
Kibosile haoni uchungu kutumia hela hovyo.Kizito ni mwenye pesa na nguvu, kwa jina lingine kibosile.
Hovyo ni kutumia vitu vibayaKibosile haoni uchungu kutumia hela hovyo.
Vibaya vibaya yaan ni mbaya kabisa wabongo kutojiamini kulingana na elimu tulizonazo wote tunakimbilia elimu za juu.tukiwa na malengo ya kizamani mpaka tunauficha ujuzi wetu binafusiHovyo ni kutumia vitu vibaya
Binafsi napita kuwajulieni hali ndugu zangu, hamjambo....Vibaya vibaya yaan ni mbaya kabisa wabongo kutojiamini kulingana na elimu tulizonazo wote tunakimbilia elimu za juu.tukiwa na malengo ya kizamani mpaka tunauficha ujuzi wetu binafusi
Kwa upande wanguBinafsi napita kuwajulieni hali ndugu zangu, hamjambo....
Wenzangu tutafakari kuongeza falsafa wa lugha mama !!!Kwa upande wangu
Mim sijambo sijui wenzangu?
Mama ni mama hata kama umemzidi urefuWenzangu tutafakari kuongeza falsafa wa lugha mama !!!
Urefu umetukuka !!Mama ni mama hata kama umemzidi urefu
Umetukuka kama kiongozi wetu wa nchiUrefu umetukuka !!
nchi yetu inasifika kwa AmaniUmetukuka kama kiongozi wetu wa nchi
Nchi za Afrika zinaongoza kwa ulafi wa madarakaUmetukuka kama kiongozi wetu wa nchi
Madaraka ni lahaja ya kaiarabu yaani "maa-adraqa" kupita uwezo !!!Nchi za Afrika zinaongoza kwa ulafi wa madaraka
Uwezo wa Bashite ni Mdogo SanaMadaraka ni lahaja ya kaiarabu yaani "maa-adraqa" kupita uwezo !!!
Sana sana tutaishia kulalamika vijiweni. mwenzenu RC ana pasuwa anga na hatimae atafika horizon !!Uwezo wa Bashite ni Mdogo Sana
Horizon ndio wapi zz au ndio umeanza kutudanganya bossSana sana tutaishia kulalamika vijiweni. mwenzenu RC ana pasuwa anga na hatimae atafika horizon !!