Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Huwezi mjua kwasababu umejificha ndani ya boxNakuambia huwezi mjua
Huwezi mjua kwasababu umejificha ndani ya boxNakuambia huwezi mjua
Box lililojaa pesa zilizofichwa?Huwezi mjua kwasababu umejificha ndani ya box
Zilizofichwa? Na nani huyo asiye na haya baradhuli mkubwaBox lililojaa pesa zilizofichwa?
Mkubwa wa nchi ndio alisema kuna pesa zimefichwa ndio maana pesa imekuwa adimu kwenye mzunguko.Zilizofichwa? Na nani huyo asiye na haya baradhuli mkubwa
Mzunguko wa Ubongo wake utakuwa na walakini si ndiyo eeeh?Mkubwa wa nchi ndio alisema kuna pesa zimefichwa ndio maana pesa imekuwa adimu kwenye mzunguko.
Eeeh! Tabia ya mtu huambatana na matendo yakeMzunguko wa Ubongo wake utakuwa na walakini si ndiyo eeeh?
Matendo yake yanaogofyaEeeh! Tabia ya mtu huambatana na matendo yake
Yanaogofya sana ukilinganisha na alichokuwa anakisema ni tofautiMatendo yake yanaogofya
Tofauti yangu mimi na wewe, wewe unaonekana bashite si ndiyo eeh.Yanaogofya sana ukilinganisha na alichokuwa anakisema ni tofauti
Eeh! Kwa sababu unataka kuandamana kupinga walioweka Avatar fekiTofauti yangu mimi na wewe, wewe unaonekana bashite si ndiyo eeh.
Feki ni vitoto vya juzi vinataka kuibadilisha JF. Wapuuzi saanaEeh! Kwa sababu unataka kuandamana kupinga walioweka Avatar feki
Feki siku hizi imegeuka kuwa kiki !!!Eeh! Kwa sababu unataka kuandamana kupinga walioweka Avatar feki
Saana wapo wengi ambao wanadhani JF ni FBI.Feki ni vitoto vya juzi vinataka kuibadilisha JF. Wapuuzi saana
Gani? Gani ya kugani mashairi ama?Saan ni neno gani?
ama kweli ukisha fika utawaona !!!Gani? Gani ya kugani mashairi ama?
Utawaona wanaume suruali wamejazana hapoama kweli ukisha fika utawaona !!!
Ama kweli nimeyamiss sana mashairi ya cheka chekaGani? Gani ya kugani mashairi ama?
!!!alama tatu za mshangao sipati picha ulivyotoa machoama kweli ukisha fika utawaona !!!
Macho ni kiungo muhimu Sana kwa binadamu!!!alama tatu za mshangao sipati picha ulivyotoa macho
Binadamu anapenda kupendwa jamaniMacho ni kiungo muhimu Sana kwa binadamu