Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Boss gbefa niwie radhi .....Horizon ndio wapi zz au ndio umeanza kutudanganya boss
Boss gbefa niwie radhi .....Horizon ndio wapi zz au ndio umeanza kutudanganya boss
Niwie radhi mkuu leo hatusalimiana vipi mzima!?Boss gbefa niwie radhi .....
Mzima kama mti wa mbuyu !! wee hali yako na wanyumbani...?Niwie radhi mkuu leo hatusalimiana vipi mzima!?
horizon hapaendeki kiujanja-ujanjaSana sana tutaishia kulalamika vijiweni. mwenzenu RC ana pasuwa anga na hatimae atafika horizon !!
Wanyumbani nahisi watakuwa wazima nimewakimbia muda sana nipo naangaika huku bush kidogo aiseeMzima kama mti wa mbuyu !! wee hali yako na wanyumbani...?
Aisee kumbe upo safari, mbona hukuagaWanyumbani nahisi watakuwa wazima nimewakimbia muda sana nipo naangaika huku bush kidogo aisee
Hukuaga kama unaenda Dubai mkuu vibaya hivyo, me niliaga naona hukuwepo weweAisee kumbe upo safari, mbona hukuaga
Wewe mpendwa unahangaika kwa juhudi zote basi ujue utafanikiwa kwabaraja za Muumba !!Hukuaga kama unaenda Dubai mkuu vibaya hivyo, me niliaga naona hukuwepo wewe
Muumba hamtupi mja wake, jambo la maana ni kuwa karibu naye kwa maombiWewe mpendwa unahangaika kwa juhudi zote basi ujue utafanikiwa kwabaraja za Muumba !!
Maombi yeyote ni bora yaambatane na vishikizio KM:- Swadaqa au matendo mema au msaada wa utu......!!Muumba hamtupi mja wake, jambo la maana ni kuwa karibu naye kwa maombi
Maombi matukufu kwa mja ni yanayohamasisha amani na usalamaMuumba hamtupi mja wake, jambo la maana ni kuwa karibu naye kwa maombi
Usalama wa taifa ni siri nzito ilobobea !!Maombi matukufu kwa mja ni yanayohamasisha amani na usalama
Ilobobea miongoni mwa viongozi wasiotaka kushauriwaUsalama wa taifa ni siri nzito ilobobea !!
KUshauriwa na nani?Ilobobea miongoni mwa viongozi wasiotaka kushauriwa
Nani? Ina maana umemsahau mshauri?KUshauriwa na nani?
Nani anayejitia jeuri juu ya sheria?KUshauriwa na nani?
Mshauri wako anawalakini nakuambiaNani? Ina maana umemsahau mshauri?
Nakuambia huwezi mjuaMshauri wako anawalakini nakuambia
Nakuambia ipo siku utaona ukweli juu ya haya unayoyasikiaMshauri wako anawalakini nakuambia