Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,562
Kujituma bila maarifa hatuwezi kuendeleaKitaaluma tuko nyuma watanzania sababu tunapenda kulalamika kuliko kujituma
Kujituma bila maarifa hatuwezi kuendeleaKitaaluma tuko nyuma watanzania sababu tunapenda kulalamika kuliko kujituma
Kuendelea ni jitihada yako binafsi jitoe kwa ajili ya maisha yakoKujituma bila maarifa hatuwezi kuendelea
Yako katika hali nzuri ukizingatia najua kusoma na kuandikaKuendelea ni jitihada yako binafsi jitoe kwa ajili ya maisha yako
Kuandika na kusoma peke yake haitoshi bila maarifa na uzoefuYako katika hali nzuri ukizingatia najua kusoma na kuandika
Kuandika, kusoma na kuhesabu inatosha kuwa mkuu wa mkoaYako katika hali nzuri ukizingatia najua kusoma na kuandika
Mkoa wa Dar-es-salaam inaonekana kama ndiyo kioo cha mikoa mingine hapa nchini.Kuandika, kusoma na kuhesabu inatosha kuwa mkuu wa mkoa
Mkoa wenye matajiri, wasomi, wafanyabiashara wakubwa, wenye idadi kubwa ya watu, wenye kila aina ya kabila ni Dar es SalaamKuandika, kusoma na kuhesabu inatosha kuwa mkuu wa mkoa
Dar es salaam ni mji mkuu wa kibiashara kwa TanzaniaMkoa wenye matajiri, wasomi, wafanyabiashara wakubwa, wenye idadi kubwa ya watu, wenye kila aina ya kabila ni Dar es Salaam
Tanzania ni nchi yenye Rasilimali nyingi DunianiDar es salaam ni mji mkuu wa kibiashara kwa Tanzania
Duniani kuna mamboTanzania ni nchi yenye Rasilimali nyingi Duniani
Duniani kuna mbambo ya ajaabu !!Tanzania ni nchi yenye Rasilimali nyingi Duniani
Bega kwa bega mzuri, usiwe yake.Kupotezana haiwezekani sababu tupo bega kwa bega
Ajabu ya nchi yetu kila mtu mjuwajiDuniani kuna mbambo ya ajaabu !!
Ajaabu sana!! Aliimba mwanamziki mmoja.Duniani kuna mbambo ya ajaabu !!
Duniani maajabu hayaishi kila kukicha kuna jipya linazukaAjaabu sana!! Aliimba mwanamziki mmoja.
''kuna watu na viatu dunianii "
Linazuka kubwa tena la kushangaza, mengine hayajawahi kusemwa na wahengaDuniani maajabu hayaishi kila kukicha kuna jipya linazuka
Wahenga walisema ukishangaa ya Mussa utayaona ya FirauniLinazuka kubwa tena la kushangaza, mengine hayajawahi kusemwa na wahenga
Firauni(Pharaoh) ambaye alijiita Mungu enzi za nabii Musa, sasa ni kivutio cha utalii huko nchini MisriWahenga walisema ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni
Misri (Egypt) hao Mapharao wamezikwa katika Mapiramid's ambayo ni moja ya vivutio vya utaliiFirauni(Pharaoh) ambaye alijiita Mungu enzi za nabii Musa, sasa ni kivutio cha utalii huko nchini Misri
Vivutio vya utalii sio kwa wazungu peke yao. Wazawa waache starehe za ulabu, waanze kuvitembelea.Misri (Egypt) hao Mapharao wamezikwa katika Mapiramid's ambayo ni moja ya vivutio vya utalii