swali lijibiwe, acha longolongo DabyEeeh! Ndio swali
swali lijibiwe, acha longolongo DabyEeeh! Ndio swali
Swali langu kwenu ni moja 2 ?Eeeh! Ndio swali
2. Baadae wadau ngoja nipate break kwanzaSwali langu kwenu ni moja 2 ?
Kwanza tujifunze kusikiliza vizuri ndipo tujibu2. Baadae wadau ngoja nipate break kwanza
Kipuuzi puuzi ni uzembe usiyo na maendeleoTujibu maswali ya msingi na si ya kipuuzi
Maendeleo siku zote hayaji kwa kufukuza watu kaziKipuuzi puuzi ni uzembe usiyo na maendeleo
Kazi zinatakiwa zibaki kwa wanaojua kusoma na kuandika, ni historia ambayo sikuitarajia kuisikia maishani mwanguMaendeleo siku zote hayaji kwa kufukuza watu kazi
Kazi zisizo za ubunifu, zaleta njaa na wizi.Maendeleo siku zote hayaji kwa kufukuza watu kazi
Wizi wa mali za serikali ni uhujumu uchumiKazi zisizo za ubunifu, zaleta njaa na wizi.
Uchumi wa kati unaweza kidhi mahitajiWizi wa mali za serikali ni uhujumu uchumi
Mbwembwe za wTZ zilikuwa ktk awamu ya nne ila leo hii sote tumeijuwa thamani na gharama za Mbwembwe uchara !!!Mahitaji muhimu kwa binaadam ni chakula, malazi na mavazi, vyengine ni mbwembwe!!
Mbwembwe uchwara! Haya tuMbwembwe za wTZ zilikuwa ktk awamu ya nne ila leo hii sote tumeijuwa thamani na gharama za Mbwembwe uchara !!!
Haya tu nadhani tutafikaMbwembwe uchwara! Haya tu
2. Watanzania amkeni ''La mgambo likilia kuna jambo"Tutafika taratibu tu
Taratibu tu ndiyo mwendoTutafika taratibu tu
Mwendo kasi ulizinduliwa na kubuniwa na mchina au Mtanzania ??Taratibu tu ndiyo mwendo
Mtanzania aliyeubuni ni aliyekuwa Mstahiki Mayor wa Jiji la Dar-es-salaam Mhe. Klest Sykes Mbuweni. Alitoa wazo la hili baada ya kutembelea mji wa BogotaMwendo kasi ulizinduliwa na kubuniwa na mchina au Mtanzania ??