Mtanzania hawez kubuni mwendokasi labda style za kitandaniMwendo kasi ulizinduliwa na kubuniwa na mchina au Mtanzania ??
Mtanzania hawez kubuni mwendokasi labda style za kitandaniMwendo kasi ulizinduliwa na kubuniwa na mchina au Mtanzania ??
Kitandani kuna nini?Mtanzania hawez kubuni mwendokasi labda style za kitandani
Kitandani hakuna mitu, vyote vipo uvunguni.Kitandani kuna nini?
Nini yako ni ya ugomvi, wala sio ya kutaka kujua.Kitandani kuna nini?
Kujua tulipotoka ni vyema ili tulinganishe na tulipo kwa ajili ya kupata mwangaza wa tunakokwendaNini yako ni ya ugomvi, wala sio ya kutaka kujua.
Tunakokwenda hatuwezi kupata mwangaza asilani,tutakuwa tunapiga ramli.Kujua tulipotoka ni vyema ili tulinganishe na tulipo kwa ajili ya kupata mwangaza wa tunakokwenda
Ramli kwa sangomaTunakokwenda hatuwezi kupata mwangaza asilani,tutakuwa tunapiga ramli.
Sangoma wa kwazulu Natal huko sauziRamli kwa sangoma
Sauzi ndio nchi yenye maisha safi AfrikaSangoma wa kwazulu Natal huko sauzi
Africa ndio mama wa mataifa ya magharibiSauzi ndio nchi yenye maisha safi Afrika
Magharibi na Mashariki wote tunashirikianaAfrica ndio mama wa mataifa ya magharibi
Kupotezana haiwezekani sababu tupo bega kwa begaTunashirikia kwakila jambo bila kupotezana
Bega la kulia lina beba uzito zaidi kuliko bega la kushoto !!!Kupotezana haiwezekani sababu tupo bega kwa bega
Kushoto ndiyo mguu aliyokuwa anatumia Diego Maradona kucheza sokaBega la kulia lina beba uzito zaidi kuliko bega la kushoto !!!
Soka la leo ni masilahi kabla ya mchezo !!!Kushoto ndiyo mguu aliyokuwa anatumia Diego Maradona kucheza soka
Mchezo huu wa soka na mingine nchini kwetu imekwenda arijojoSoka la leo ni masilahi kabla ya mchezo !!!
Tusifanikiwe ktk sekta zote ni kwa sbb ya uSwahiba na siyo kiutaaluma !!Arijojo ndiyo inayotupelekesha tusifanikiwe
Kitaaluma tuko nyuma watanzania sababu tunapenda kulalamika kuliko kujitumaTusifanikiwe ktk sekta zote ni kwa sbb ya uSwahiba na siyo kiutaaluma !!