Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Kibantu labda cha kwenu hukoKimasai ni miongoni mwa lugha za Kibantu
Kibantu labda cha kwenu hukoKimasai ni miongoni mwa lugha za Kibantu
Huko Koromije ndio kimezalisha UbashiteKibantu labda cha kwenu huko
mchezo nauelewa.., nimeanza nao zamani sana, neno la mwisho linafaa liwe gumu ili mwenzako asiweze kuanzishia sentensi nyingine uwe wa mwisho ushinde..., tatizo nyie aakhhVepee Korboto nadhani umeelewa kanuni za mchezo
Ubashite upi?ila jamani humu Tuheshimiane maana kuna maleigwenan kama mimi na nyie malayoniHuko Koromije ndio kimezalisha Ubashite
malayoni ndio akina nani tena haoUbashite upi?ila jamani humu Tuheshimiane maana kuna maleigwenan kama mimi na nyie malayoni
Hao wote wasioamini kila niwambiachomalayoni ndio akina nani tena hao
Hao wote wasioamini kila niwambiacho
Niwambiacho mimi ni kuzunguka mbuyuHao wote wasioamini kila niwambiacho
Mbuyu ulianza kama mchicha eti?Niwambiacho mimi ni kuzunguka mbuyu
kuzunguka mbuyu hakusaidii, tuangalie ustaarabu mwingineNiwambiacho mimi ni kuzunguka mbuyu
Mwingine alinambia amewahiwa sasa sijajua na huyukuzunguka mbuyu hakusaidii, tuangalie ustaarabu mwingine
huyu hana lake tena, anahaha vile jina lake limetangazwa kwa waliofoji vyetiMwingine alinambia amewahiwa sasa sijajua na huyu
Viroba vipo bado. Mkuu hilo tunda kwenye avatar yako nalijua saana tulikuwa tunaliita mantoboHumu ndani panalewesha sana zaidi ya viroba
Mantobo ni neno la kabila gani?Viroba vipo bado. Mkuu hilo tunda kwenye avatar yako nalijua saana tulikuwa tunaliita mantobo
Gani? Swali gani hili unaloniuliza unajiona ndugu yake na yesu eeehMantobo ni neno la kabila gani?
Eeeh! Ndio swaliGani? Swali gani hili unaloniuliza unajiona ndugu yake na yesu eeeh