Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Tatizo nyie hamnijui tu napigaaa heeeehee ohoooJombaaah huu ni mchezo usiokuwa na mwisho
Hayo maelezo yako ndio tatizo
Tatizo nyie hamnijui tu napigaaa heeeehee ohoooJombaaah huu ni mchezo usiokuwa na mwisho
Hayo maelezo yako ndio tatizo
Tatizo si kitu kizuri kwahiyo usipende kuwa tatizo sababu waweza tatukaHayo maelezo yako ndio tatizo
Ohooo, mi sipendi kupigwa mwili wanguTatizo nyie hamnijui tu napigaaa heeeehee ohooo
Wangu wa moyo sijui leo yupo wapiTatizo si kitu kizuri kwahiyo usipende kuwa tatizo sababu waweza tatuka
Ohooo, mi sipendi kupigwa mwili wangu
Wapi naweza kupata vifaa vya AHUJAWangu wa moyo sijui leo yupo wapi
Ohooo, tucheze mchezo kama kupokezana kijiti, tusome kwanza quote zote halafu ndio tuquote ili tupate mtiririko mzuri wa kisomiTatizo nyie hamnijui tu napigaaa heeeehee ohooo
Ohooo umeharibu mchezo hapo juuTatizo nyie hamnijui tu napigaaa heeeehee ohooo
Kisomi kipi unachozungumzia hiki cha vyeti feki. Ndugu tuheshimu mchezoOhooo, tucheze mchezo kama kupokezana kijiti, tusome kwanza quote zote halafu ndio tuquote ili tupate mtiririko wa mzuri wa kisomi
Juu ya wapi sijaharibu mie. Mchezo huu ni shurti umquote wa juu yako na sio kuchanganya ukichelewa unaachaOhooo umeharibu mchezo hapo juu
Mchezo utanoga endapo kila mtu ataquote comment ya mwishoKisomi kipi unachozungumzia hiki cha vyeti feki. Ndugu tuheshimu mchezo
Mwisho wetu uwe hapa sasaMchezo utanoga endapo kila mtu ataquote comment ya mwisho
unaacha nn sema unaachwa we vepee?Juu ya wapi sijaharibu mie. Mchezo huu ni shurti umquote wa juu yako na sio kuchanganya ukichelewa unaacha
Unaacha kama hutakiJuu ya wapi sijaharibu mie. Mchezo huu ni shurti umquote wa juu yako na sio kuchanganya ukichelewa unaacha
Vepee? Kiswahili shida tupuunaacha nn sema unaachwa we vepee?
Vepee Korboto nadhani umeelewa kanuni za mchezounaacha nn sema unaachwa we vepee?
Mchezo wa kitandani tusi usahau jamani fyatueni tutawasomesheaVepee Korboto nadhani umeelewa kanuni za mchezo
Unaacha kama hutaki
Na kama unataka unaenda kuoga unakua msafi
Tutawasomeshea hadi za kihispaniolaMchezo wa kitandani tusi usahau jamani vyatueni tutawasomeshea
Kihispaniola sio kimasaiTutawasomeshea hadi za kihispaniola
Kimasai ni miongoni mwa lugha za KibantuKihispaniola sio kimasai