Mdogo mdogo tutafika tu.Wasichana wanaozeshwa wakiwa na umri mdogo
Tupo pamoja ktk kujenga taifa letu adhimu...Mdogo mdogo tutafika tu.
Wenyewe vijijini bado hawayajui haya mambo, kila mmoja wetu inabidi akawaelimishe pindi arudipo kuwasalimiaIkielima angalau 30% ya jamii iishiyo vijijini, na uhakika nchi itakomboka kutoka kwenye ukoloni wa wenyewe kwa wenyewe.
Kuwasalimia wageni walipo wasili uwanja wa ndege!!!Wenyewe vijijini bado hawayajui haya mambo, kila mmoja wetu inabidi akawaelimishe pindi arudipo kuwasalimia
Ndege hutoka asubuh viotani mwao wakiwa wana njaa, mola huwaruzuku chakula wanaporudi jioni hua wameshiba..je ni zipi katika dalili za mola wako usizoziamini?Kuwasalimia wageni walipo wasili uwanja wa ndege!!!
Usizoziamini ni ayaat za kutungwa na binaadamu, Lakini mie ninamini vitabu vyake !!!Ndege hutoka asubuh viotani mwao wakiwa wana njaa, mola huwaruzuku chakula wanaporudi jioni hua wameshiba..je ni zipi katika dalili za mola wako usizoziamini?
Vyake acha vibakie vyake, na wewe tafuta vyakwako. Acha kupenda vya dezo!!!!Usizoziamini ni ayaat za kutungwa na binaadamu, Lakini mie ninamini vitabu vyake !!!
Dezo saa nyingine ni tamuuVyake acha vibakie vyake, na wewe tafuta vyakwako. Acha kupenda vya dezo!!!!
Tamuuu km nn..Dezo saa nyingine ni tamuu
Nini hicho weweTamuuu km nn..
Wewe ni kauli isiyona ustaarabu bora usemeNini hicho wewe
Wewe Daby unaongoza kuchangia Uzi huu wa mshindiNini hicho wewe
Mshindi wa pili utakuwa Princess qute ma watatu atakuwa alibakari mie ndo ntashika mkia !!Wewe Daby unaongoza kuchangia Uzi huu wa mshindi
Mshindi nahisi hapatikaniWewe Daby unaongoza kuchangia Uzi huu wa mshindi
Hapatikani kwasababu gani mkuuMshindi nahisi hapatikani