Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mvuani ni neno gani?Yako Princess qute utaila juani na yangu ntaila kivulini na ya Mwifwa atila mvuani !!!
Mvuani ni neno gani?Yako Princess qute utaila juani na yangu ntaila kivulini na ya Mwifwa atila mvuani !!!
Gani au bunduki au labda gobore ?!!?Mvuani ni neno gani?
Gobore ilitumika zamani, sasa tupo kwenye utandawazi na teknolojia imekuwa sana, hilo halitumiki tenaGani au bunduki au labda gobore ?!!?
Tena wakichelewa kubadilika tutawanukisha waje kutahamaki tushaibuka na Nano !!!Gobore ilitumika zamani, sasa tupo kwenye utandawazi na teknolojia imekuwa sana, hilo halitumiki tena
ntaramukunda kwa kiswahili ni...jamani nakibi namugiriye kandi ntaramukunda
Ni nini hata Mimi nataka kuelewa maana ya ntaramukundantaramukunda kwa kiswahili ni...
Ntaramukunda ni neno la kikabila miongoni mwa makabila zaidi ya 120 ya kibantu yaliyopo hapa NchiniNi nini hata Mimi nataka kuelewa maana ya ntaramukunda
nchini wapi ntaramukunda ni kirundiNtaramukunda ni neno la kikabila miongoni mwa makabila zaidi ya 120 ya kibantu yaliyopo hapa Nchini
Kirundi tena....nchini wapi ntaramukunda ni kirundi
Tena mkizoea kunichokonoa nitawakashifu makabila yenu mmoja mmoja bila kuchelea !!!Kirundi tena....
chele chelea pina anza mimi nipo nyuma nime simama wimaTena mkizoea kunichokonoa nitawakashifu makabila yenu mmoja mmoja bila kuchelea !!!
Wima wima tena,,,,,kuna usalama??chele
chele chelea pina anza mimi nipo nyuma nime simama wima
Tutafika tunapotarajia tukishikamanaUsalama upo kwa bashite tu
Tukishakamana kwa pamoja tutafikia malengoTutafika tunapotarajia tukishikamana
malengo ya nini bwana we twende tu kitaeleweka mbele kwa mbeleTukishakamana kwa pamoja tutafikia malengo
Mbele tuangalie vizuri tunaweza tukajikwaamalengo ya nini bwana we twende tu kitaeleweka mbele kwa mbele
Tukajikwaa kwenye kichuguu cha madongo poromoko !!Mbele tuangalie vizuri tunaweza tukajikwaa