Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Neno lake la mwisho lilikuwa Shahada !!Tu? Tu ni aina gani ya neno
Neno lake la mwisho lilikuwa Shahada !!Tu? Tu ni aina gani ya neno
Busara bila hekima ni kupoteza malengo !!Neno la mkulu siku zote halina busara.
Malengo yangu ni kumdunda mtu kwenye huu uzi.Busara bila hekima ni kupoteza malengo !!
Uzi huu una kutanisha wachangiaji walobobea fikra adhimu.....!!Malengo yangu ni kumdunda mtu kwenye huu uzi.
Wachache ndiyo huunda baada ya kubuni.., ila wengi wetu ni wambea,wadaku na wenye majungu !!!!Adhimu ni jambo ambalo wanalo watu wachache
Hubomoa mawazo yaliyojengwa na wanafiki ati rasilimali zinaibiwa wakati wakiwa madarakani wao ndo mafisadi !!!Majungu hayajengi, bali hubomoa
Kilindi ndipo madhara makubwa yalipotokeaUyoga uliua watu juzi Kilindi
Dhati ya moyo wangu ni kumpenda anipendayeKujiokoa dhidi ya Umaskini inahitaji uvumilivu na jitihada za dhati
Anipendaye nami nampendaDhati ya moyo wangu ni kumpenda anipendaye
Nampenda na nitaendelea kumpenda my wife!Anipendaye nami nampenda
Familia ni ukoo usiyo na mtafaruku....Wife ni muhimili mmojawapo katika familia
Mtafaruku ni janga kubwa sana miongoni mwa jamiiFamilia ni ukoo usiyo na mtafaruku....
Jamii yetu ina ukandamizaji na kudhalilisha wasichana ....Mtafaruku ni janga kubwa sana miongoni mwa jamii