Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mbali ni kupoteza mudaKudumu na kudumuka hizo zote ni hali
Ila uzungu na kuzunguka vinipitie mbali
Mbali ni kupoteza mudaKudumu na kudumuka hizo zote ni hali
Ila uzungu na kuzunguka vinipitie mbali
Muda huwez kwenda nao sambamba hata uvae saa ngapiMbali ni kupoteza muda
Wapi umetokea mpendwa weww amsr wadhihirisha ufasaha wa lahaja zaki alwatan !!Muda huwez kwenda nao sambamba hata uvae saa ngapi
Ni sawa unitishie kujamba ili nikwambie ukajisaidie wapi
Malenga ntakua mimi iwapo hadhira ni wewe thatsitAlwatan amsr kaja style mpya kutoka kwa malenga
Back seat siitaki nataka font fedMalenga ntakua mimi iwapo hadhira ni wewe thatsit
Vunja pochi nivunje ulimi ili unione kwa mbele ukiwa backseat
Mengine mambo hayasemwi hadharaniFont fed waachie Pombe na kipenzi chake cha moyo Daudi Bashite, wewe fanya mambo mengine
Mtikila yupo?Hadharani weka mambo ya Paul kagame tukuone kama mtikila
Yupo wapiMtikila yupo?
Wapi anapoishiYupo wapi
Anapoishi yeye ndipo maamkia mimi bila ubishi.....Wapi anapoishi
Kieleweke baadae unageuziwa kibado inakula kwako jumla!!!.....ubishi ubishi tu mpaka kieleweke
Jumla ndio hauwezi labda kwa mbinu nyingineKieleweke baadae unageuziwa kibado inakula kwako jumla!!!
Nyingine hakuna zaidi ya mbio tuJumla ndio hauwezi labda kwa mbinu nyingine
Tu? Tu ni aina gani ya nenoNyingine hakuna zaidi ya mbio tu