Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mkuu hapa hadi kielewekeHapatikani kwasababu gani mkuu
Mkuu hapa hadi kielewekeHapatikani kwasababu gani mkuu
Kieleweke kweli kama mulisha lipa kodi !!Mkuu hapa hadi kieleweke
Kodi tunahitajihidi kulipa lakini mambo yanayofanyika ni ya kipuuziKieleweke kweli kama mulisha lipa kodi !!
Kidonda ndugu huwa hakiponi hata hakioti kovu !!Kipya kinyemi ingawa kidonda.
Kovu sugu niliipata nilipoujifunza kuendesha baiskeli nikatoka kidondaKidonda ndugu huwa hakiponi hata hakioti kovu !!
Kidonda Ndugu dawa yake habat saudaKovu sugu niliipata nilipoujifunza kuendesha baiskeli nikatoka kidonda
Sauda alipokwepa mtutu ulilia paaaa!Kidonda Ndugu dawa yake habat sauda
Habat Sauda wewe unafaham ? jee wahua siri yake zaidi ?Kidonda Ndugu dawa yake habat sauda
Kutuambia faida zake hizi zao la haba Souda ni moja ya tiba za magonjwa kem kem....Zaidi ya hapo unaweza kutuambia
Kem kem maana yake ni vingi vingi eti eee!!Kutuambia faida zake hizi zao la haba Souda ni moja ya tiba za magonjwa kem kem....
Eee!! Hapo ndipo utakapojua mbivu na mbichiKem kem maana yake ni vingi vingi eti eee!!
Mbichi huliwa juani mbivu huliwa kivuliniEee!! Hapo ndipo utakapojua mbivu na mbichi
Kujipumzisha ni muhimu kwa afya yakoKivulini ni sehemu nzuri ya kujipumzisha
Yako Princess qute utaila juani na yangu ntaila kivulini na ya Mwifwa atila mvuani !!!Kujipumzisha ni muhimu kwa afya yako