Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Pesa kama wewe hauna sema upewe.., Siyo wote muflisi !!!Watu wengi siku hiz hawana pesa
Pesa kama wewe hauna sema upewe.., Siyo wote muflisi !!!Watu wengi siku hiz hawana pesa
nchi nyingi kwa sasa zipo katika Crisis !!!Magufuli huy atatuhamisha nchi
Crisis kwa nchi lakini mwananchi mmoja mmoja wapo matajiri wa kutupwa.nchi nyingi kwa sasa zipo katika Crisis !!!
Kutupwa kwa waziri kumethibitisha Utawala huu ni wa haki ......!!!Crisis kwa nchi lakini mwananchi mmoja mmoja wapo matajiri wa kutupwa.
Wote hatuwezi kutosha ndani ya pango !!Haki sawa kwa wote
Wote tunapendana humu jf hakuna ubaguz wa kidini, rangi wala kabilaHaki sawa kwa wote
Kabila lako nalijua kutokana na lafudhi zako khsawa yako maandiko !!!Wote tunapendana humu jf hakuna ubaguz wa kidini, rangi wala kabila
Maandiko matakatifu yanasema dhana mbayaKabila lako nalijua kutokana na lafudhi zako khsawa yako maandiko !!!
Mbaya na'am usemayo... ila ubaguzi umetapakaa machoni mwetu !!!!Maandiko matakatifu yanasema dhana mbaya
Mwetu sote au baadhi ya watu tu, mm cna ubaguzi wowote uleMbaya na'am usemayo... ila ubaguzi umetapakaa machoni mwetu !!!!
Ule vya watu na vyako huliwa...!!Mwetu sote au baadhi ya watu tu, mm cna ubaguzi wowote ule
Huliwa na nani tenaUle vya watu na vyako huliwa...!!
Tena uniambie yupi nimle !!Huliwa na nani tena
Nimle huyu embee, huo wimbo nilikuwa nauimba sanaaa kipindi niko msingiTena uniambie yupi nimle !!
Kudumu na kudumuka hizo zote ni haliMsingi ukiwa mbovu na nyumba haiwez kudumu