Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Cjui nikwambie niniKe lkn kuchora cjui
Cjui nikwambie niniKe lkn kuchora cjui
Nn Tena? Niambie chochote jiskie huruCjui nikwambie nini
Jiskie huru "Wallahi nimeanza kuitamani ndoa"Nn Tena? Niambie chochote jiskie huru
Nimebakwa na jf cfurukuti. Nisaidieni jamaniNdoa ndoano,,,mwenzako alilia kwa mayowe akisema NIMEBAKWA.!!!!
Jamani siyo peke yako hata siye midume tumetekwa kiakili !!!!Nimebakwa na jf cfurukuti. Nisaidieni jamani
Kiakili na kifikraJamani siyo peke yako hata siye midume tumetekwa kiakili !!!!
Kifikra ni niniKiakili na kifikra
Nini kilichotusababisha kufikia hali hii?Kifikra ni nini
Nimeolewa kwa sababu ya tabia sio uzurHii kwa wenye waume tu...utawackia ...>uzur wangu ndo maana nimeolewa.
Mshindi wakati ulikua hushindan?Uzur wake me ndo mshind..
Hushindani kwa kuwa ni mvivu wa kutupwa !!Mshindi wakati ulikua hushindan?
Uzuri nao unachangiaNimeolewa kwa sababu ya tabia sio uzur
Unachangia harusi na huku unalalamika, si uache!Uzuri nao unachangia
Uache kuchat fanya kazi sa iv muda wa kazi ww uko busy online na jfUnachangia harusi na huku unalalamika, si uache!
JF ipo wazi masaa 24 nasi huku kwetu muda huu ni usiku wa manane haituzuii !!Uache kuchat fanya kazi sa iv muda wa kazi ww uko busy online na jf
JF bwana, ulichosema ni kweli, lakini na wewe je?Uache kuchat fanya kazi sa iv muda wa kazi ww uko busy online na jf
Je unanifuatisha mm?? Mm niko free 23/7 lkn hela inaingia.JF bwana, ulichosema ni kweli, lakini na wewe je?