mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Inaingia vizuri, mshukuru mungu, kuna watu wanaitafuta iyo helaJe unanifuatisha mm?? Mm niko free 23/7 lkn hela inaingia.
Inaingia vizuri, mshukuru mungu, kuna watu wanaitafuta iyo helaJe unanifuatisha mm?? Mm niko free 23/7 lkn hela inaingia.
inaingiajee bila maumivu kweli ??Je unanifuatisha mm?? Mm niko free 23/7 lkn hela inaingia.
hela za madafu au za dhahabu ???!?Inaingia vizuri, mshukuru mungu, kuna watu wanaitafuta iyo hela
Kweli ukijipanga mapema baadae utakula pension bila wac wacinaingiajee bila maumivu kweli ??
Wac Wac neno hili nimelifurahia ....Kweli ukijipanga mapema baadae utakula pension bila wac wac
Nimelifurahia tabasam lakoWac Wac neno hili nimelifurahia ....
Muhimu zaidi kama una MalengoKusoma ni mhimu
Lako tabasam ndo lenye mvuto kuliko la umma wote Duniani.....😀Nimelifurahia tabasam lako
Malengo yalitimia vizuri sema hiyana ilimiliki !!Muhimu zaidi kama una Malengo
Dunian kuna vituko, hapa jf kuna watu wanachekesha kweliLako tabasam ndo lenye mvuto kuliko la umma wote Duniani.....😀
Kweli tumefahamiana bila kuonana !!Dunian kuna vituko, hapa jf kuna watu wanachekesha kweli
Kuonana sio lazima muhimu tunaongea hapa nafurah kujumuika na weweKweli tumefahamiana bila kuonana !!
Wewe mbona huadimiki mtandaoniKuonana sio lazima muhimu tunaongea hapa nafurah kujumuika na wewe
Mtandaoni yupo akifaidika mambo kadhaa!!Wewe mbona huadimiki mtandaoni
Kadhaa wa kadhaa km kujuana na watuMtandaoni yupo akifaidika mambo kadhaa!!
Pesa imekuwa ngumuWatu wengi siku hiz hawana pesa