jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Tumuombee dereva wa lori awe fent ford kwa memaSerikali imeshindwa kuongoza kutokana na vichaa viwili tu
Mema ni pamoja na kujiheshimu wewe na viungo vyakoTumuombee dereva wa lori awe fent ford kwa mema
Viungo vyako vinazeeka mkuu daby njoo tupashe huku mpiraniMema ni pamoja na kujiheshimu wewe na viungo vyako
Mpirani ukikojoa unatakiwa ukatupe mpira huo sehemu nyeti saana .Viungo vyako vinazeeka mkuu daby njoo tupashe huku mpirani
Sana sana Daby unapenda kuongelea mambo ya chumbani adharani nimegutukaMpirani ukikojoa unatakiwa ukatupe mpira huo sehemu nyeti saana .
Nimegutuka nikastuka kumbe wew mjukuu wangu basi tuongelee siasaSana sana Daby unapenda kuongelea mambo ya chumbani adharani nimegutuka
Siasa ni mchezo mchafuNimegutuka nikastuka kumbe wew mjukuu wangu basi tuongelee siasa
Mchafu ni anayeenda chooni anavaa nguo bila kuchambaSiasa ni mchezo mchafu
Kuchamba kwa wazaramo ni kukusema huko dar mwizi alichambwa hadi alikufa aisee!Mchafu ni anayeenda chooni anavaa nguo bila kuchamba
Aiseeh wewe ni mwongo na mbiguni utabaki kuisikia wewe haya siyo maneno yanguKuchamba kwa wazaramo ni kukusema huko dar mwizi alichambwa hadi alikufa aisee!
Maneno yangu ni ya busara kabisa na tafsida in use 100% sijui wewe jamaaAiseeh wewe ni mwongo na mbiguni utabaki kuisikia wewe haya siyo maneno yangu
Jamaa nikuambie kitu wewe naona unajiona na ndugu yake na yesu nahisi umerogwa weweManeno yangu ni ya busara kabisa na tafsida in use 100% sijui wewe jamaa
Wewe huo usemi wa ney wa mitego huku unafata niniJamaa nikuambie kitu wewe naona unajiona na ndugu yake na yesu nahisi umerogwa wewe
Nini anachokitaka rais magufuliWewe huo usemi wa ney wa mitego huku unafata nini
Magufuli amechokwa na watanzania nikiwemo mimiNini anachokitaka rais magufuli
Ndugu wa mkulu ni bashite tuMim na wewe ni ndug
Bashite tu kila muda mnampa kichwa tuongelee mengineNdugu wa mkulu ni bashite tu
Bashite tu kila muda mnampa kichwa tuongelee mengine