Chini na juu utakamata ukitakaMchezo gani huo wa kukamatiana chini
Chini na juu utakamata ukitakaMchezo gani huo wa kukamatiana chini
Ukitaka mume wa ukweli njooChini na juu utakamata ukitaka
Njoo unipose nyumbn km unanitakaUkitaka mume wa ukweli njoo
unanitaka wakati sina kituNjoo unipose nyumbn km unanitaka
Kitu km kipi?? Kujiamn muhimuunanitaka wakati sina kitu
Muhimu niambiwe kinachoendelea hapaKitu km kipi?? Kujiamn muhimu
Hapa kinachoendelea ni proposal mana ww kumbe una wengiMuhimu niambiwe kinachoendelea hapa
Wengi wao lengo waniharibie sidhani kama unapaswa kumsikiliza mtuHapa kinachoendelea ni proposal mana ww kumbe una wengi
Wengi siyo hoja la muhimu roho nyeupe kama mimi !!!Hapa kinachoendelea ni proposal mana ww kumbe una wengi
mtu wangu Daby nakuaminisha uongozi..Wengi wao lengo waniharibie sidhani kama unapaswa kumsikiliza mtu
Uongozi ni dhamana pia ni talantamtu wangu Daby nakuaminisha uongozi..
Talanta ???????!!??Uongozi ni dhamana pia ni talanta
Talanta ndo nn jamaniTalanta ???????!!??
Talanta ni kipajiTalanta ndo nn jamani
Kipaji chako unakijuaTalanta ni kipaji
Saana maana mimi bwana pasipo kukuficha kitu najua kipaji changuKipaji chako unakijua
Changu sikijui, lkn umeenda wrong Daby nimecheka kweli. Inaonesha umechoka sana leoSaana maana mimi bwana pasipo kukuficha kitu najua kipaji changu
Leo sijachoka jana ndiyo nilichoka hahahahaha kumbe nimekoseaChangu sikijui, lkn umeenda wrong Daby nimecheka kweli. Inaonesha umechoka sana leo
Nimekosea mm kukuamsha toka usingizini nisamehe bureLeo sijachoka jana ndiyo nilichoka hahahahaha kumbe nimekosea
Bure sikuhizi imeisha nilipe ndiyo nikusameheeNimekosea mm kukuamsha toka usingizini nisamehe bure