Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Uswahilini kuna fitina nyingiKwangu uswahilini
Uswahilini kuna fitina nyingiKwangu uswahilini
Nyingi fedha huleta matabaka na chuki baina ya ndugu na marafikiUswahilini kuna fitina nyingi
fitina mpaka unashindwa kuenjoy maisha na wifeUswahilini kuna fitina nyingi
Eeenhee, Daby na gbefa ndo mwanisema sio, Mungu anawaonaAnaboa baada ya kumlaa eehe..
Anawaona wale wenye nyodo juu ta wenzaoEeenhee, Daby na gbefa ndo mwanisema sio, Mungu anawaona
Anawaona wotee hata waliopo gizani saa hizi wakifanya ufuskaaEeenhee, Daby na gbefa ndo mwanisema sio, Mungu anawaona
Ufuskaa wa kijinsia au hulka za uasherati ?Anawaona wotee hata waliopo gizani saa hizi wakifanya ufuskaa
Uasherati ni mbaya saana ndugu zangu tulizeni hivyo vikojoleoUfuskaa wa kijinsia au hulka za uasherati ?
Vikojoleo vya awamu hii vinatohariwa hospitalini...!!Uasherati ni mbaya saana ndugu zangu tulizeni hivyo vikojoleo
Hospitalini wanatahiriwa malayoni tuVikojoleo vya awamu hii vinatohariwa hospitalini...!!
Tu ni mbili kwa kiengereza ila jumapili ni Sunday !!Hospitalini wanatahiriwa malayoni tu
Sunday alikuwa mtu wa watuTu ni mbili kwa kiengereza ila jumapili ni Sunday !!
Watu gani unaowazungumzia mkuuSunday alikuwa mtu wa watu
Mkuu ni mkuuyanzi na siyo Dabu !!!
Mkuu acha tu ujue hali imebadilika saana
Saana ndio maana tunakimbia nchi hii kama mange kimambiMkuu acha tu ujue hali imebadilika saana
Kimambi anasumbua sana kichwa serikaliSaana ndio maana tunakimbia nchi hii kama mange kimambi
Serikali imeshindwa kuongoza kutokana na vichaa viwili tuKimambi anasumbua sana kichwa serikali