Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Bure ni ofa ya halichachi tigo .Nini maana ya bure
Bure ni ofa ya halichachi tigo .Nini maana ya bure
Tigo express yourself!! Mpaka uchoke na halichachiBure ni ofa ya halichachi tigo .
Halichachi tigo wanajaribu kukimbizana na kasi ya Hallotel.Tigo express yourself!! Mpaka uchoke na halichachi
Halotel ni mtandao unaowajali wateja. Nitaanzisha uzi wa mashindano ya Mitindo huru usiache kushirikiHalichachi tigo wanajaribu kukimbizana na kasi ya Hallotel.
Kushiriki nitashiriki kwa moyo mkunjufu wenye Amani na furaha Tele....nitaachaje kwa Mfano..?Halotel ni mtandao unaowajali wateja. Nitaanzisha uzi wa mashindano ya Mitindo huru usiache kushiriki
Shemeji yako kwa nani huyo DabyKushiriki nitashiriki kwa moyo mkunjufu wenye Amani na furaha Tele....nitaachaje kwa Mfano..?
Vipi mzima shemeji.
Daby hivi sasa nasikia anamke tayari wa Ndoa.Shemeji yako kwa nani huyo Daby
Ndoa ipi unazungumzia ??? Ya mitindo huru??? AuDaby hivi sasa nasikia anamke tayari wa Ndoa.
Au atoto alikukataaa?Ndoa ipi unazungumzia ??? Ya mitindo huru??? Au
Umekaribia kuanza kuandika maduduMustaqabali mwema kwa umma wa Tanzania umekaribia....
Madudu haya yanatishaUmekaribia kuanza kuandika madudu
Yanatisha saana. Ila nawashauri muwe mnapost huku mmevaa nguo msikae uchiMadudu haya yanatisha
Uchi nayo ni tungo tata sanaYanatisha saana. Ila nawashauri muwe mnapost huku mmevaa nguo msikae uchi
Sana sana nilikuwa nakuongelea wewe. Eeh za kutukalia uchi mpendwa!Uchi nayo ni tungo tata sana
Mpendwa avatar yake ipo uchi kama Pyongyang Ikulu.Sana sana nilikuwa nakuongelea wewe. Eeh za kutukalia uchi mpendwa!
Ikulu pendwa imebakia kidogo iwe wazi.Mpendwa avatar yake ipo uchi kama Pyongyang Ikulu.
Wazi wazi inaonesha unaniona mm Daby mana niko km nimetoka kuzaliwa sasa hiviIkulu pendwa imebakia kidogo iwe wazi.
Hivi wewe uLizaliwa mwaka gani thatsit!Wazi wazi inaonesha unaniona mm Daby mana niko km nimetoka kuzaliwa sasa hivi
Thatsit kazaliwa miaka kadhaa iliyopitaHivi wewe uLizaliwa mwaka gani thatsit!