Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Khalidoun ndo naniyapi au yepi Khalidoun
BabaNani kama mama
Mama ni nguzo ya familiaNani kama mama
mama "avatar" yako nzuri sanaNani kama mama
Sana km ndo yy bac mashaallah kaumbikamama "avatar" yako nzuri sana
Kaumbika vyema sifa kwake aliye juu...huu uzi mtamu sana Shukran zimufikie Wambuzi.Sana km ndo yy bac mashaallah kaumbika
Wambuzi mkia siku zote mfupiKaumbika vyema sifa kwake aliye juu...huu uzi mtamu sana Shukran zimufikie Wambuzi.
Mfupi kwa sababu unamurahisishia beberu kazi.Wambuzi mkia siku zote mfupi
Kazi ni shughuli yoyote ikuingiziayo kipato halaliMfupi kwa sababu unamurahisishia beberu kazi.
Halali chumbani pekee yake anaogopa !!!Kazi ni shughuli yoyote ikuingiziayo kipato halali
Halali chumbani pekee yake anaogopa !!!
Wabaya wengi wamenizunguka kila upande na nimeshtukia wanataka kuniletea madhara
Ameshazeeka aliyekuwa anajiona atakua miss Tanzania daimaMadhara kayapata Madrid jana akidhani Simba Lionel Messi ameshazeeka
Daima utavuna ulichokipandaAmeshazeeka aliyekuwa anajiona atakua miss Tanzania daima
Ulichokipanda ndicho utakachovuna kudadadekiDaima utavuna ulichokipanda
Kudadadeki naupenda huu mchezoUlichokipanda ndicho utakachovuna kudadadeki
Mchezo gani huo wa kukamatiana chiniKudadadeki naupenda huu mchezo