Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Hakishibishi ww utakuwa na tumbo kubwa zzChakula cha msibani huaga kitamu na hakishibishi !!!
Hakishibishi ww utakuwa na tumbo kubwa zzChakula cha msibani huaga kitamu na hakishibishi !!!
Zz amekuwa mkongwe humu big up kwake.. Wewe mzima lakini za masiku!?Hakishibishi ww utakuwa na tumbo kubwa zz
Masiku mengi yamepita bila kukuona mzee mzimaZz amekuwa mkongwe humu big up kwake.. Wewe mzima lakini za masiku!?
Mzima mzima utachotwa ukizinguaMasiku mengi yamepita bila kukuona mzee mzima
Ukizingua tu na mm nakuzinguaMzima mzima utachotwa ukizingua
Nakuzingua na mimi weweUkizingua tu na mm nakuzingua
Wewe huna ubabe mbele yangu nimeshakushika pabayaNakuzingua na mimi wewe
Pabaya ni pale pa ccm kama bashite na JpmWewe huna ubabe mbele yangu nimeshakushika pabaya
Jpm- James Paul Malcom X.Pabaya ni pale pa ccm kama bashite na Jpm
X is any unknown numberJpm- James Paul Malcom X.
Number zinatofautina saana. Kuna moja kuna kumiX is any unknown number
Kumi kwa kihindi inaandikwajeNumber zinatofautina saana. Kuna moja kuna kumi
Inaandikwaje talakaKumi kwa kihindi inaandikwaje
Wajameni njaa inaniuma naenda kupata chakula kwanzaTalaka imekuwa kama vyeti feki inapatikana kilais na wakati wowote ndoa chungu wajameni
Kwanza mchoyo hata haunikaribishiWajameni njaa inaniuma naenda kupata chakula kwanza
Kwako ewe gbefa bwana anasema okoka ya dunia ni mapito.Haunikaribishi na wajifungia chumbani kwako
Baadae hakikisha tunawasilianaMapito ni haya tunayaexperience sasa yaje yawe simulizi baadae