Shenzi taipu ni mdudu ganiHuu UJINGA Mimi sipendi, Mondray, Juntazy na vilaza wenzenu jifunzeni sheria za mchezo huu kabla ya kucheza, sio mnatuvuruga vuruga tu hapa, shenzi taipu!!!
Gani mashairi yanayoeleweka nduguShenzi taipu ni mdudu gani
Ndugu zangu ni wakarimu sanaGani mashairi yanayoeleweka ndugu
Sana km rais magufuliNdugu zangu ni wakarimu sana
Magufuli ametokea chattleSana km rais magufuli
Chattle sio ni chatoMagufuli ametokea chattle
Chato anakotekea magu naskia panajengwa uwanja wa ndege wa kisasaChattle sio ni chato
Kisasa na kizamani ipi boraChato anakotekea magu naskia panajengwa uwanja wa ndege wa kisasa
Kisasa na kizamani ipi bora
Muda mrefu mmekaa kimya hamchart mmejichimbia wapBora ni ile inayodumu kwa muda mrefu.
Muda mrefu mmekaa kimya hamchart mmejichimbia wap
Shamba ndiyo kwenye tegemeo la watu wa mjini kwa chakulaMjini akili, nguvu acha huko huko kwenu shamba
Chakula cha msibani huaga kitamu na hakishibishi !!!Shamba ndiyo kwenye tegemeo la watu wa mjini kwa chakula