Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Iliyopita ni mingapi!Thatsit kazaliwa miaka kadhaa iliyopita
Iliyopita ni mingapi!Thatsit kazaliwa miaka kadhaa iliyopita
Tutashangaa sana lkn km sio wao tumchague nani mwengine, wote ndo wale wake.Siku ambayo CCM watachukia tena nchi ndipo watanzania wengi tutashangaa
Nawapenda waafrika weusi !!Wake zangu nawapenda
Weusi kama mimiNawapenda waafrika weusi !!
Mimi ni wale wale msiyo wapenda !!Weusi kama mimi
JF ipo hatarini kuvamiwa ....Mpo wana JF?
Jf ishavamiwa Sasa, mkuu unajua lkn huu mchezo unachezwajeWasiojua umuhimu wa jf
Unachezwaje ule mchezo wa kombolela?Jf ishavamiwa Sasa, mkuu unajua lkn huu mchezo unachezwaje
Kombolela inachezwa kwa kujificha mwengine anakutafuta raha sana ukicheza chumbani na baeUnachezwaje ule mchezo wa kombolela?
Bae wako wewe ni naniKombolela inachezwa kwa kujificha mwengine anakutafuta raha sana ukicheza chumbani na bae
Nani mwengine km c....... Naogopa kukutajaBae wako wewe ni nani
Kukutaja wewe sioni shaka. Teh nimekuja kusalimu nitarudi baadae LOLNani mwengine km c....... Naogopa kukutaja
Lol nnKukutaja wewe sioni shaka. Teh nimekuja kusalimu nitarudi baadae LOL
ukirud niambie