Simu saivi watu wanabadili cover tyuuTunawasiliana hata kwa post sio lazima kupigiana simu
Tyuu ni sauti ya ndege mjanja hanasiki kiurahisi !!Simu saivi watu wanabadili cover tyuu
Kiurahisi tuu umewaza kunisahsuTyuu ni sauti ya ndege mjanja hanasiki kiurahisi !!
Kunisahau huwezi sababu wajua ninavyokupendaKiurahisi tuu umewaza kunisahsu
Ninavyopenda Mungu tu ndo ajuaeKunisahau huwezi sababu wajua ninavyokupenda
Anifundishe zaidi magazijutoAjuae hesabati anifundishe
Magazijuto sio kanuni za hesabu, ni vichekesho vya mzee Majuto.Anifundishe zaidi magazijuto
Kukifanya siwezi kwakuwa nilimwahidi sintofanya nje !!!Majuto huja baada ya kufanya kitendo ambacho hakina faida baada ya kukifanya
Safi mazingira ni salama kwa afya zetunje kuna hewa safi
Zetu sisi ni walii dagaa... Pizza..burger ni ulimbukeni...Safi mazingira ni salama kwa afya zetu
Ulimbukeni ni kuponda chakula kilichokukuzaZetu sisi ni walii dagaa... Pizza..burger ni ulimbukeni...
Kitu gani tenaChakula chetu cha Asili ndio chakula...Vingne hakuna kitu
Tena uniambie ulikuwa wapi ww mwanamkeKitu gani tena
Tena nini?Kitu gani tena
Mwanamke huyo ni yupiTena uniambie ulikuwa wapi ww mwanamke