jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Wateja ni wafalme katika biasharaChajitembeza kwa ajili ya kutafuta wateja
Wateja ni wafalme katika biasharaChajitembeza kwa ajili ya kutafuta wateja
Biashara ni matangazoWateja ni wafalme katika biashara
Matangazo ya pombe na sigara kwenye media sio mazuri kwa jamii hata kidogo.Biashara ni matangazo
Kidogo kidogo ndio mwendoMatangazo ya pombe na sigara kwenye media sio mazuri kwa jamii hata kidogo.
Kidogo rais akijiweka mbali na bashite tutamuelewaMatangazo ya pombe na sigara kwenye media sio mazuri kwa jamii hata kidogo.
Tutamuelewa tu Harmorapa, kuwa ni kiboko ya mabishoo.Kidogo rais akijiweka mbali na bashite tutamuelewa
Mabishoo wamejazana mjiniTutamuelewa tu Harmorapa, kuwa ni kiboko ya mabishoo.
Mjini shule shamba kilimoMabishoo wamejazana mjini
Kilimo kwasasa kimepwayaMjini shule shamba kilimo
AsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeUpewe kila kitu wewe umekuwa nani dunia hii...
Endelea kufa na utamu wako kama muwa
Kimepwaya sababu wakulima wamekata tamaaKilimo kwasasa kimepwaya
Tamaa mbele mauti nyumaKimepwaya sababu wakulima wamekata tamaa
Nyuma sirudi hakika nitasonga mbele daimaTamaa mbele mauti nyuma
Sithubutu kunywa pombeDaima tutapendana kumuacha sithubutu
Pombe ni mbaya kwa afya zetuSithubutu kunywa pombe
Zimebomolewa na mvuaZetu nyumba zimebomolewa