Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wetu umoja udumuTunafurahia umoja wetu
Wetu umoja udumuTunafurahia umoja wetu
Kunigawia wakati sijakuomba sio vizuriMawazo yako ni mazuri unaweza kunigawia?
Udumu jf bila kukosaWetu umoja udumu
Nguoni kuna niniMsamehe aliyekukosea hata kama kakutukana matusi ya nguoni
Msamehe Kakangu ndo kwanza kaja kunisalimiaQuigley alichanganya nyuzi msamehe
Kukosa sio rahisiUdumu jf bila kukosa
Kutenda dhambi sio kuzuri ni machukizo mbele za bwanaRahis kusema kuliko kutenda.
Bwana yule bado yuko buguruni??Kutenda dhambi sio kuzuri ni machukizo mbele za bwana
Buguruni sipajui kabisaaBwana yule bado yuko buguruni??
Sipapendi pale katiKabisaa yaan sipapendi

Mbabe ni mnyoa viduku wa Pyongyang-Kaskazini.Kati ya yanga na simba nani mbabe?
Kaskazini, kusini ,mashariki nenda hata magharibi mshindi aliebaki ni Mimi tu!Mbabe ni mnyoa viduku wa Pyongyang-Kaskazini.
Tu!! Peke yako nani kasema? Washindi ni mm na Daby tushajijua zamanKaskazini, kusini ,mashariki nenda hata magharibi mshindi aliebaki ni Mimi tu!
Zamani sana niliwahi kusema mimi ndio wa mwishoTu!! Peke yako nani kasema? Washindi ni mm na Daby tushajijua zaman
Mwisho wa kipind hiki ndio mwanzo wa chengine kizuriZamani sana niliwahi kusema mimi ndio wa mwisho
Kizuri cha jiuza kibaya chajitembezaMwisho wa kipind hiki ndio mwanzo wa chengine kizuri
Chajitembeza kwa ajili ya kutafuta watejaKizuri cha jiuza kibaya chajitembeza