T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,082
Tunaendautanipa kweli au basi tu
Tunaendautanipa kweli au basi tu
Nitakacho kwake ananipa hasa pale ninapokuwa namuonyeshea kuwa nampenda kuliko kitu chochote hapa MbinguniNinapomfurahisha ananiambia niseme nitakacho
Kila kitu mpaka vyeti?😵Jamii forum unapata kilakitu
o_0 ni halama ya hesabu ambaye jibu lake ni bila bila. Yaani unautafuta ushind kwa nguvuKila kitu mpaka vyeti?😵

Jamiiforums alieanzisha huu mchezo hakoment. Kawaachia matahira waendelee kupoteza muda.Mpya mpya zinapatikana nyingi sana hapa Jamiiforums
Muda wa lunch huuJamiiforums alieanzisha huu mchezo hakoment. Kawaachia matahira waendelee kupoteza muda.
Huu hapa ukweli kuhusu BashiteMuda wa lunch huu
Mjini ndo mwanzo wa kilakituBashite ni jina ambalo limekuwa maarufu sana mjini
Upewe kila kitu wewe umekuwa nani dunia hii...Kila kitu anatoa muumba Ila onyesha juhudi upewe
Muwa au Miwa inalimwa kwa wingi kilomberoUpewe kila kitu wewe umekuwa nani dunia hii...
Endelea kufa na utamu wako kama muwa
kilo na mbero walikuwa mapacha kama kurwa na dota.....!!Muwa au Miwa inalimwa kwa wingi kilombero
Doto ni mdogo wake kurwakilo na mbero walikuwa mapacha kama kurwa na dota.....!!
Ameshaolewa wapi! Hana cheti cha kuzaliwaKurwa hivi si ameshaolewa
jamiiforum wiki hizi habari kubwa ni bashite.Mpya mpya zinapatikana nyingi sana hapa Jamiiforums
Salama jarbil namkubali knoma.usiku saivi ulale salama