Mapito ya wapi?Dunia ni mapito
Wapi ulimwonaMapito ya wapi?
hhhhh hizi zipo tanoUlimwona Conte leo chozi wazi wazi hhhhh
Tano bilahhhhh hizi zipo tano
Bila nidhamu ya hali ya juu binadamu tusingeheshimianaTano bila
Tusingeheshimiana km ingekuwa hakuna bakora shuleniBila nidhamu ya hali ya juu binadamu tusingeheshimiana
Shuleni sio pa mchezo mchezoTusingeheshimiana km ingekuwa hakuna bakora shuleni
Mchezo mmoja nimeumissShuleni sio pa mchezo mchezo
Nimeumis mtoriMchezo mmoja nimeumiss
Mtori ni chakulaNimeumis mtori
Chakula chepesi kizur kwa ajili ya usiku ni kipiMtori ni chakula
Kipi zaidi ya chai na chapati?Chakula chepesi kizur kwa ajili ya usiku ni kipi
Chapat za kumimina au za kusukumaKipi zaidi ya chai na chapati?
Kusukuma chapati ni kazi rahisi sanaChapat za kumimina au za kusukuma
Kusukuma halafu mahagwe pembeniChapat za kumimina au za kusukuma
Sana hasa ukiwa na ujuzi nazoKusukuma chapati ni kazi rahisi sana