Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wewe ndo ulifanya nione dunia imesimama siku nzima ya janaHuko mbali siwezi kufika, ila moyo wangu upo na wewe..
Wewe ndo ulifanya nione dunia imesimama siku nzima ya janaHuko mbali siwezi kufika, ila moyo wangu upo na wewe..
Jana ilikuwa siku ngumu kuingia humu, mambo yako pouwa. Nimerudi laaziziWewe ndo ulifanya nione dunia imesimama siku nzima ya jana
Laazizi nafurahi kukuona u mzima na afya teleJana ilikuwa siku ngumu kuingia humu, mambo yako pouwa. Nimerudi laazizi
Duuuh umefurahiiiLaazizi nafurahi kukuona u mzima na afya tele
Umefurahii wee pia kumuona Sakayo ana amaniDuuuh umefurahiii
Umefurahi pia shem, dada yako kafurahi zaidiDuuuh umefurahiii
Zaidi ni kujua nina kaka anaenijaliUmefurahi pia shem, dada yako kafurahi zaidi
Zaidi nilimshauri awe na subira hatimaye umerudiUmefurahi pia shem, dada yako kafurahi zaidi
Umerudi kutoka mbali na mwingi uchovuZaidi nilimshauri awe na subira hatimaye umerudi
Tafakari na uchukue hatua.Faida ya kuwa humu ni nini?
Nini zaidi ya kupoteza mawazoFaida ya kuwa humu ni nini?
Naona wewe mchezo haujauelewa....Tafakari na uchukue hatua.
Hivi kuna faida gani mmu unakoshinda Daby!!!
Tunafurahia umoja wetuNini zaidi ya kupoteza mawazo
Mawazo yako ni mazuri unaweza kunigawia?Nini zaidi ya kupoteza mawazo
Msamehe aliyekukosea hata kama kakutukana matusi ya nguoniQuigley alichanganya nyuzi msamehe