Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 419
- 425
Balaa ni pale bashite anapokataa kuondoka madarakaniMvua huku kwetu zinanyesha balaa
Balaa ni pale bashite anapokataa kuondoka madarakaniMvua huku kwetu zinanyesha balaa
Madarakani aondoke kwa nn hujui km madarakani patamuBalaa ni pale bashite anapokataa kuondoka madarakani
Patamu..??? Utamu wake upo wap hapoMadarakani aondoke kwa nn hujui km madarakani patamu
Nani ulie nae hapoHapo ulipo upo na nani
Hapo ulipo sio SalamaNani ulie nae hapo
Salama tu! Kama ugomvi utauanzisha weweHapo ulipo sio Salama
Wewe naona umepanicSalama tu! Kama ugomvi utauanzisha wewe
Boli halituliziki usawa wa sio kabisa huuUmepanic mkuu lakini tuliza boli
Huu sio muda wa kutuliza boliBoli halituliziki usawa wa sio kabisa huu
Boli limedunda halitak kutulizika kabisaHuu sio muda wa kutuliza boli
Kabisa bora ukae litulie lenyeweBoli limedunda halitak kutulizika kabisa
Lenyewe limegoma kakaKabisa bora ukae litulie lenyewe
Kaka yako ni mzima?Lenyewe limegoma kaka
Mzima kama chumaKaka yako ni mzima?
Chuma cha pua au!Mzima kama chuma
Au chuma Cha mjerumaniChuma cha pua au!
Mjerumani kwenye mpira sio mtu wa kawaida uliona alichomfanyia Brazil 2014Au chuma Cha mjerumani
2014 was bad year kwa Brazil hawatasahau walipotiwa aibu mbele ya duniaMjerumani kwenye mpira sio mtu wa kawaida uliona alichomfanyia Brazil 2014