Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Tanzania si ni pamoja na zanzibar au upo wapi wewe? Na unafanya nini? Na kwanini? Sema Inawezekana upo huku nilipo.Stress zinanipungua sana nikiwa na jf najihic nipo Tanzania
Tanzania si ni pamoja na zanzibar au upo wapi wewe? Na unafanya nini? Na kwanini? Sema Inawezekana upo huku nilipo.Stress zinanipungua sana nikiwa na jf najihic nipo Tanzania
Nilipo ni mbali Daby lkn karibuni you nategemea kurud AfricaTanzania si ni pamoja na zanzibar au upo wapi wewe? Na unafanya nini? Na kwanini? Sema Inawezekana upo huku nilipo.
Africa ni bara la ajabu saana. Bora usirudi muda wowote Mapigano yatatokea hasa TanzaniaNilipo ni mbali Daby lkn karibuni you nategemea kurud Africa
Tanzania haiwezi kutokea mapigano watu wake ni waoga sana labda KenyaAfrica ni bara la ajabu saana. Bora usirudi muda wowote Mapigano yatatokea hasa Tanzania
Kenya kwa uhuru kenyata eehTanzania haiwezi kutokea mapigano watu wake ni waoga sana labda Kenya
Tupu zao kwa nn hawazistiriKupumbazwa na hii dunia nako ni shida tupu
Hawazisitiri sababu wamekosa maadili na hofu ya MunguTupu zao kwa nn hawazistiri
Mungu ni muweza wa yoteHawazisitiri sababu wamekosa maadili na hofu ya Mungu
Mungu ni muweza wa yote
Yote yanawezekana ukiwa na imaniMungu ni muweza wa yote
Imani ni kitu kizuri kuwa nacho katika moyo wakoYote yanawezekana ukiwa na imani
Moyo wako umtumainie Mungu pekeeImani ni kitu kizuri kuwa nacho katika moyo wako
Mungu pekee ndo mtoaji wa rizikiMoyo wako umtumainie Mungu pekee
Riziki mafungu sabaMungu pekee ndo mtoaji wa riziki
Saba ni magical numberRiziki mafungu saba
Number one of mine, where have you been!! Sio kwa kunitenga hukoSaba ni magical number
Huko mbali siwezi kufika, ila moyo wangu upo na wewe..Number one of mine, where have you been!! Sio kwa kunitenga huko