Kwenu wapi ww mm ni mzanzibarPemba ndipo kwenu?
Kwenu wapi ww mm ni mzanzibarPemba ndipo kwenu?
Mzanzibar wewe mbona unamaswali magumu hivyo?Kwenu wapi ww mm ni mzanzibar
Hivyo bac ni bora unijibuMzanzibar wewe mbona unamaswali magumu hivyo?
Unijibu swali langu pia. Mimi Mtanganyika mwenye asili pacha na yenye kutatanishaHivyo bac ni bora unijibu
Kutatanisha kivp au umechanganya na wasomaliUnijibu swali langu pia. Mimi Mtanganyika mwenye asili pacha na yenye kutatanisha
Wasomali ni wazuri saanaKutatanisha kivp au umechanganya na wasomali
Saana, kwa sababu wana ngozi yao ya asili hawajichubui km wakongoWasomali ni wazuri saana
Saana sana wale wa kikeWasomali ni wazuri saana
Wakongo nao hawapo nyuma kwenye mzikiSaana, kwa sababu wana ngozi yao ya asili hawajichubui km wakongo
Kike ni jinsia moja wapo katika jamiiSaana sana wale wa kike
Jamii inatakiwa kuchunguza mienendo ya watoto wa siku hiziKike ni jinsia moja wapo katika jamii
Hizi picha zinaingiaje hapa ukhtyJamii inatakiwa kuchunguza mienendo ya watoto wa siku hizi
Ukhuty maana yake niniHizi picha zinaingiaje hapa ukhty
Nini kimemfanya alete hii picha hapaUkhuty maana yake nini
Hapa hatuhitaji picha mwambie kabisaNini kimemfanya alete hii picha hapa
Kabisa asituharibie mchezoHapa hatuhitaji picha mwambie kabisa
Kabisa asituharibie mchezoHapa hatuhitaji picha mwambie kabisa
Mchezo huu ni mtamu saana ukiwa una stressKabisa asituharibie mchezo
Stress zinanipungua sana nikiwa na jf najihic nipo TanzaniaMchezo huu ni mtamu saana ukiwa una stress