mzizimkuu
Member
- Dec 18, 2016
- 49
- 54
Hiyo marufuku itadumu mileleViroba vimepigwa marufuku,sioni faida ya marufuku hiyo!
Hiyo marufuku itadumu mileleViroba vimepigwa marufuku,sioni faida ya marufuku hiyo!
Milele na milelle tutadumuHiyo marufuku itadumu milele
Madumu gani wewe papendikyulaTutadumu ila hatuta kuwa madumu.
Papendikyula amekosa majibu juu ya hilo swali.Madumu gani wewe papendikyula
Swali jepesi saana hilo utakuwa kilaza eeeh?Papendikyula amekosa majibu juu ya hilo swali.
Eeeh...unasema umeokota vyeti vya Bashite?Swali jepesi saana hilo utakuwa kilaza eeeh?
Bashite sio mtu mzuri kwa ustawi wa watekwajiEeeh...unasema umeokota vyeti vya Bashite?
Watekwaji wamejikuta barabarani alfajiri lakini wamefika polisi jioniBashite sio mtu mzuri kwa ustawi wa watekwaji
Jioni ni muda mzuri wa matembeziWatekwaji wamejikuta barabarani alfajiri lakini wamefika polisi jioni
Matembezi yaliyoambatana na ulinzi mubashara.Jioni ni muda mzuri wa matembezi
Mubashara runinga zinarusha matangazo yakeMatembezi yaliyoambatana na ulinzi mubashara.
Yameoza maembeYake yote yameoza
Maembe boribo nimeyamiss sanaYameoza maembe
Sana sana yanapatikana Tanga pale chumba geniMaembe boribo nimeyamiss sana
Chumba geni nyengne iko pembaSana sana yanapatikana Tanga pale chumba geni
Pemba ndipo kwenu?Chumba geni nyengne iko pemba